Nchi zote zenye watu au raia kutoka mataifa mbali mbalia ndizo zinaongoza duniani kiuchumi, na zile zinazosisitiza Ukabila na Umimi ndizo maskini kuliko zote DUNIANI.RWANDA ya KAGAME. Mimi naishangaa Tanzania yetu. Nchi kama Marekani ina raia wa nchi zote duniani na imeendelea kwelikweli tena kwa kuzitumia mbongo na vipaji vya raia hawa "wakuja"!
Ukiwa na roho mbaya basi elewa hata Mungu anaziweka riziki mbali na wewe!