Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

Hatimaye ZIKA Tanzania ndani ya CCTV

DR MWELE NI MUHAINI KABISA.
Njaa ilikuwa inamsumbua akajua akisema kuna zika pesa za who na waisani wengine zitamwagika kwenye idara yake, nadhani Magu alimbania bugdet yake, si unajua naye ni miongoni mwa wale waliokuwa wanapishana na JK angani siku za nyuma
 
View attachment 447607
Hii kitu ya ZIKA kuwepo Tanzania naona sasa imevuka mipaka ya nchi kwa kasi sasa.Sasa hapa ndio tunaona kazi ya vyombo vya habari vya nje kwenye mambo kama haya yanapotokea ktk nchi za Afrika.

Baada ya BBC,sasa na CCTV nao wameikomalia issuei hii.Hii sasa inazidi kupata "coverage" huko duniani.Huku NIMRI wanasema yao,huku Waziri na Wizara wanasema yao wakishirikiana na WHO.

Lakini huko "duniani" watu wanazidi kusambaza habari kweli Tanzania si salama tena,maana mdudu wa ZIKA anataradadi.Inahitaji umakini kukabiliana na suala hili.View attachment 447607
Naona umefurahi sanaaaa

Make your country the first choice.
 
Wakati serikali ipo kwenye industrial age iliyodumaa, dunia ipo kwenye information age kwa kasi ya jet...!!

Nafikiri tungejiuliza lengo hasa la viwanda ni nin, ajira? Hakuna njia mbadala ya kukuza ajira? Au kuongeza exportation? Viwanda hivyo vita kuwa na uwezo wa ku compete na viwanda vingine? Mfano nchi nyingi siku hizi serikali zao hazinunui ndege ila zinakodisha tu. Mawazo ya Raisi yaheshimiwe lakini pia ashauriwe kuwa hiki si kipindi cha kukomaa na viwanda tu, kuna njia mbadala wake kama kuwekeza sana kwenye IT. Amini nawaambia kama nchi ikijikita zaidi kwenye IT Tanzania itafika mbali sana
 
Naona umefurahi sanaaaa

Make your country the first choice.
Mkuu mimi nifurahi ili iwe nini?Yaani kuileta habari hapa ndio furaha?
Ina maana hata wale ambao huleta habari hapa za wapendwa wao kufariki huwa wanakuwa wamefurahi??
Think +ve
 
Hakuna aliyeipinga research. Issue hapa ni kuwa Dr. Mwele alikiuka protocol. Hata kama huwa anatangaza masuala mengine ya afya, suala zito kama Zika slitakiwa aishirikishe Serikali. Sio unakurupuka tu unaenda kwenye media. For whose benefit?? Dr. Magufuli ni mfano wa kuigwa. Ameona big problem itakayoambatana na taarifa hiyo kwenda moja kwa moja on air- just like that.
What would have changed btw? ?
 
tatizo yeye hakuwa na mamlaka ya kutangaza chochote kwenye media wizara ndo inahusika
Sawa! je zika ipo au haipo?
Ummy amekataa alifanya utafiti gàni?
Siku press release inatoka ummy alikuwepo kwanini hakulipinga hili?
 
Mkuu ukijichukulia kuwa ni masikini wale wanaokupima kama ni maskini kweli au wala hawapati kazi. Unakuwa umewarahisishia kazi ya kukutambua.

hakuna kujivunga ndo maana wanaoenda kujitangaza itv tunashuhudia wanatibiwa hadi india ambako kikawaida wanaendaga wenye uwezo
 
Unao uhakika hakuna linaloendelea katika mapambano dhidi ya huo ugonjwa?.

Unaweza kumchukia mtu au mfumo fulani lakini ni dhambi kubwa sana kuwa na mawazo ya kutaka nchi yako ipate jina baya kimataifa.
Huu upumbavu unaojitokeza nchi hii sijui umetoka wapi yaani ufiche ugonjwa kama zika eti jina baya Brazil ina zika Olympics hazikufanyika mbona ziifanyika
 
Mbona vitu vyote vya muhimu serikali inataka viwe hide yaani visijulikane


Kutangaza kuwa pana ZIKA ni kitu cha muhimu??

Ama unazungumzia vitu gani hasa hivyo vya muhimu??
 
Back
Top Bottom