Andrew Mushi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 630
- 696
Swala jengine ambalo ndio muhimu kwa sana, Dr. Mwele amefanya kazi nzuri na Serikali lazima itambue hilo mchango wake kutupa scientific findings ambazo kwa ufupi inaelezea 15% ya samples, zimeonyesha kuwepo kwa hili gonjwa hususan kando ya ziwa, tusilaani kitendo chake, bali tuwe nae karibu sana, ijapokua amefanya misteps ktk kutangazia umma, kwangu mimi sidhani kama dismissible offence, angewekwa chini na kufahamishwa, lakini nililolionna mimi wakubwa wake wa kazi yaani wizarani, walikua kama wanamuignore kwa vile, ndio maana hata yale matamshi yake kwenye conference yanajieleza wazi, yalikua na hasira kwa sababu ya bureacracy na politicisation ya kila kitu kwetu ndio mwendo kasi. pitia video utayaona hayo. hatma yake ni political ramifications kama hizo tulizoziona.
lakini ambalo ninalitaka kuliongelea hapa, serikali na wizara husika zikae chini, nini cha kufanya kwanza kabisa on immediate effect kuwasaidia waathirika, na pili wataweza vipi kuwasaidia wale waathirika yaani watoto, najua hili ni long short kwa serikali zetu lakini linawezekana. Hapa naongelea maswala mazima ya ulezi wa mtoto, in terms ya lishe, wachambue vyakula gani vya kuwalisha, ili kuwezesha kuondoa learning difficult hapo baade, na kuweza some how waweze kuji establish at a certain extent kama normal children, hii kwa manufaa ya nchi na wananchi wake.
na pili ndio hio vita, ya kutambua dalili, njia na tiba, na watu vile vile watapata elimu ya kujua kama wanataka kupata mtoto, wajue kwanza wapime na vipimo viwepo, yote hizi measures zitasaidia serikali, yaani ni kama malaria vile, kila mtu anajielewa akiona dalili mbio hospital, imagine kama hatuko aware nayo, tungekua tunaathirika sana lakini measures zilizochukuliwa na serikali na watu wake, tumeshajitambua. sasa tunashirikiana na Bill Gate kuisaka chanjo..