Ghulaam
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 1,868
- 1,495
HahahahaKwahiyo lengo lenu mnataka watanzania tufe na ugonjwa wa ZIKA? Wauaji wakubwa nyie
HahahahaKwahiyo lengo lenu mnataka watanzania tufe na ugonjwa wa ZIKA? Wauaji wakubwa nyie
Twaweza si ilikuwa upande wa Baba lao EL?Mmezoea tafiti za Twaweza, kazi kusifia tu,
Haya basi Twaweza wanasema hakuna virus vya ZIKA 100%
Maana ukweli kwenu ni shubiri
Hahaha,Mkuu umenifanya nicheke sanaKwahiyo lengo lenu mnataka watanzania tufe na ugonjwa wa ZIKA? Wauaji wakubwa nyie
Whatever it is....research findings from the public institutions should be made publicly available for challenges. .....siasa za kukanusha sidhan kama zitasaidia, Huwezi kwepa facts kwa mane no.
Wizara nayo lazima ijipange kisayansi, kukabiliana na tafiti kama hizo..Dr.Kigwangala knows the rest. ..
Hii sio tz, harafu mbona wote wana fanana?
Hv hzo nchi zilizotangaza ugonjwa huu awali wangeficha nao ungejua kuna huo ugonjwa?Yaaani, eti watu wanamtetea!! Sio mzalendo kabisa huyo mama
Tafiti ifanywe, halafu picha za waliofanyiwa tafiti zimekwe wazi. Hii haina tofauti na kesi ya kutotoa taarifa za watumiaji mtandao wa jf.Nimechoka kujibishana na nyie Findings za Dr Mwele zilikuwa ni preminaly na kamwe haiwezekani kutumiwa kufanya hitimisho...hizi ni findings za mwanzo kabisa kimsingi ilikuwa bado kufanya hitimisho na hata hivyo ni wizara kwa kushirikiana na WHO ndio wenye uwezo wa kufanya hitimisho baada ya kupitia kwa kina uchunguzi na si kwa preminaly Findings kama za Dr Mwele.... Dr Mwele alitangaza kuwepo kwa ugonjwa wa Zika wakati hata ukisoma report yake hakuna hata picha au watu ambao anaweza kuwaleta na kuwaonesha kuwa hawa wana Zika..
Dr Mwele ni ataligharimu taifa.
Ata Ukimwi mlifichaficha hvhv ulipoingia kule Bk mkaupa majina mengine et slimAjabu sana, tena unajikurupua kwenye media kuutangazia ulimwengu jambo zito kama hili?
Mkuu ukijichukulia kuwa ni masikini wale wanaokupima kama ni maskini kweli au wala hawapati kazi. Unakuwa umewarahisishia kazi ya kukutambua.kwa akili yako tanzania ni nchi iliyoendelea zaidi
Kutumbuliwa kwa yule Doctor wala sio kwa sababu ya ukweli kuwa ugonjwa upo au haupo. Njia za mtu kufikisha ujumbe zinaweza kumharibia kazi.Ukweli ni ngumu kumeza. Tuna tatizo la zika then Deal with it.
Kweli kabisa ngoja ianze kumtafuna huyo mtumbua majipu ndio atajua zika ipoDr Mwele ni Mzalendo wa viwango vyote.
Mungu aendelee kukulinda Dr Mwele...
Matokeo ya utafiti hutolewa na aliefanya utafiti and not otherwise.
Mmeshazoea zile tafiti zenu za kijinga zinazotengenezwa na vile vitengo vyenu TWAWEZA na REDET..!!
Vp nyie mnaotaka wa Tz wafe kwa kuuficha ukweli?Mkuu unafurahia nchi yako kupewa negative coverage?. That is too low my dear brother.
Unao uhakika hakuna linaloendelea katika mapambano dhidi ya huo ugonjwa?.Vp nyie mnaotaka wa Tz wafe kwa kuuficha ukweli?
Masilahi ya kuficha ugonjwa na raia kufa kimya kimya au?Rais anapofanya maamuzi watu mnakurupuka na kumsimanga kwa kila aina ya kejeli na matusi. Watanzania hatuna tabia kufikiria mbeleni inakuwaje. Ipo siku mtamuelewa Mh. Rais anachokifanya kwamba si kwa maslahi yake binafsi bali ni kwa maslahi ya taifa nawatanzania wote.
Nani kakuambia Zika inaua?Kwahiyo lengo lenu mnataka watanzania tufe na ugonjwa wa ZIKA? Wauaji wakubwa nyie