Hatimaye wakiume apatikana, hakuna linaloshindikana

Hatimaye wakiume apatikana, hakuna linaloshindikana

Huyo wa kiume atakuwa na bahati sana, mara shemeji huyu akulipie ada ya chuo, huyu amekununulia gari, huyu amekupa mtaji wa biashara ni full raha.
Mashemeji wenyewe wawe na pesa sasa
Sema uzuri hiyo familia ni ya kishua dogo atakuwa anadeka
 
Mwisho wa picha huyo mtoto wa kiume utamkuta ni shoga....
 
huyo mzee hakutuliza akili ni sawa na mjeda anayechukua dragonov halafu anaanza kulenga hovyo hovyo mwisho wa siku anajikuta ameua vinguchiro tuu, kuua nyati inahitaji akili nyingi na timing.
 
Hilo tatizo la kuzaa wakikee au wakiume tu mbona linatibika hata kwa madawa ya kienyeji njoo ntakusaidia
 
Mwisho wa picha huyo mtoto wa kiume utamkuta ni shoga....
Kauli mabya hiyo. Kilichokutuma ufikirie hivyo ni nini? Anayekuhusu say kaka yako, mdogo wako and the like wakimfikiria hivyo utaafiki? Jitafakari tena na maandishi yako!
 
Bi mkubwa mbona alitutotoa tukiwa 11 na tulilelewa na leo hii kila mtu ana maisha yake
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Back
Top Bottom