mbn wanalingana age....[emoji13] [emoji13]Baada ya kutafuta mtoto wa kiume muda mrefu hatimaye apatikana baada ya kujaribu mara 9 wote wa kike
Ukitia nia Mungu anasaidia
View attachment 500408
Ndio nyie mkifika ndani vipigo haviishiAhaa tabia tutajuana mbele kwa mbele tu appearance kwanza
Mwanamke hapigwi anatafutiwa msaidiz tuNdio nyie mkifika ndani vipigo haviishi
Hahahaaa!Mwanamke hapigwi anatafutiwa msaidiz tu
Baada ya kutafuta mtoto wa kiume muda mrefu hatimaye apatikana baada ya kujaribu mara 9 wote wa kike
Ukitia nia Mungu anasaidia
View attachment 500408
Hayo ni maoni yangu... Kama yamekutachi kuna konaKauli mabya hiyo. Kilichokutuma ufikirie hivyo ni nini? Anayekuhusu say kaka yako, mdogo wako and the like wakimfikiria hivyo utaafiki? Jitafakari tena na maandishi yako!
Hayo ni maoni yangu... Kama yamekutachi kuna konaKauli mabya hiyo. Kilichokutuma ufikirie hivyo ni nini? Anayekuhusu say kaka yako, mdogo wako and the like wakimfikiria hivyo utaafiki? Jitafakari tena na maandishi yako!
Hayo ni maoni yangu... Kama yamekutachi kuna konaKauli mabya hiyo. Kilichokutuma ufikirie hivyo ni nini? Anayekuhusu say kaka yako, mdogo wako and the like wakimfikiria hivyo utaafiki? Jitafakari tena na maandishi yako!
hasa mama, maana hyo family planning sijui ilikaajeKama ni kweli sifa iende kwa mzazi mana ulezi wa watoto wote hao mpaka kufikia walipo si jambo la mchezo.
ohooo, basi na mimi ntazaa tu kike na kumalizia kakiume kama ndo faida zake izoHuyo wa kiume atakuwa na bahati sana, mara shemeji huyu akulipie ada ya chuo, huyu amekununulia gari, huyu amekupa mtaji wa biashara ni full raha.
Hayo hupangwa na Mungu mkuu.ohooo, basi na mimi ntazaa tu kike na kumalizia kakiume kama ndo faida zake izo
lakini hapa inategemea na familia ilivojipanga, kama ni zile za kolomije lazima wa kiume ndo utegemewe maana utakuta dada zako washazalishwa wapo tu homeHuyo wa kiume atakuwa na bahati sana, mara shemeji huyu akulipie ada ya chuo, huyu amekununulia gari, huyu amekupa mtaji wa biashara ni full raha.
Ukitia nia Mungu anafanya cyo kusaidiaBaada ya kutafuta mtoto wa kiume muda mrefu hatimaye apatikana baada ya kujaribu mara 9 wote wa kike
Ukitia nia Mungu anasaidia
View attachment 500408
mmh ko ile concept ya biology kwamba male is the sex determinant ni uongo mkuu?Hayo hupangwa na Mungu mkuu.
Hii dhana ya kuendeleza watoto wa kiume kwakua wa kike wataolewa imefanya familia nyingi kutokuendelea. Wanawake wana uwezo wa kupasua anga za dunia wakipewa nafasi pia hukumbuka sana nyumbani walikotoka. Usishangae kaka akawajengea wakwe zake nyumba wakati wazazi wake bado wako kwenye nyumba ya nyasi.lakini hapa inategemea na familia ilivojipanga, kama ni zile za kolomije lazima wa kiume ndo utegemewe maana utakuta dada zako washazalishwa wapo tu home
Well for sure, ninafahamu kuwa kuna private clinics wanafanya hivyo, fertizaliation inafanywa lab na wanaangalia yai unalolitaka ndiyo linapandikizwa, rumours has it Victoria Beckham went through this procedure to get her daughter.mmh ko ile concept ya biology kwamba male is the sex determinant ni uongo mkuu?
haha na hii inatokana na kukopi watu wa magharibi, maana enzi za kale watoto wa kiume walikuwa wanavijenga vijumba vyao kwako na kukaa hapo hapo, but now days mambo ya elimu ndo imebadili ndoto zetu wanaumeHii dhana ya kuendeleza watoto wa kiume kwakua wa kike wataolewa imefanya familia nyingi kutokuendelea. Wanawake wana uwezo wa kupasua anga za dunia wakipewa nafasi pia hukumbuka sana nyumbani walikotoka. Usishangae kaka akawajengea wakwe zake nyumba wakati wazazi wake bado wako kwenye nyumba ya nyasi.
Mabadiliko ya mfumo wa uchumi, leo hii wewe wa Kigoma unapata ajira Mtwara na wadada wa ki-Makonde hawatakuacha uwe mpweka.haha na hii inatokana na kukopi watu wa magharibi, maana enzi za kale watoto wa kiume walikuwa wanavijenga vijumba vyao kwako na kukaa hapo hapo, but now days mambo ya elimu ndo imebadili ndoto zetu wanaume