Hatimaye wakiume apatikana, hakuna linaloshindikana

Hatimaye wakiume apatikana, hakuna linaloshindikana

Mkuu pamoja na hayo kuwakuza si shughuli ndogo, hapo sikukuu nyama ni kama kilo 5, siku za kawaida kilo mbili za nyama lazima zisindkizwe na maharage kwa tembele.

Kweli kabisa yaani..pongezi kwa walezi
 
Hahaha nadhani bajeti ya siku ya msosi ni hatari hata uyo mpishi kazi anayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akitaka nafuu akaishi na familia yake kijijini kama mikoa ya Mbeya, Moro, Kagera, Mwanza, Mara-Tarime, Tanga aende kama wilaya za Lushoto, Bumburi, Muheza na Pangani, huko kuna unafuu wa maisha kutokana hali ya hewa jembe halimtupi mkulima
 
= Bumbuli

Nani alikudanganya kuwa Bumbuli ni wilaya? Au uliianzisha wewe wilaya mpya?

Punguani wahed.
 
Back
Top Bottom