tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,663
- 29,034
Hivi inakuwaje mwanaume unajipodoa hadi unamzidi mwanamke? Na wanaume wengine wanatembea na vioo na vitana kwenye pochi zao ili kuhakikisha wanajitazama na kujiboresha mara kwa mara?
Kwangu mimi, kitendo cha mwanaume kujipodoa na kujipaka losheni na pafyumu nakiona kama kitendo cha kishoga. Siku za nyuma niliwahi kushuhudia mwanaume mmoja hadi anachoma nywele zake zinaonekana kama za mwanamke na bado anajiona yupo sawa.
Hii haikubaliki hata kidogo katika jamii zetu ambazo siku zote tunakemea na kupambana dhidi ya ushoga
Kwa bahati mbaya, vitendo hivi vya kishoga huanza taratibu tangu wanaume wakiwa wavulana na mara nyingi hujifunza kutoka kwa mama zao. Ukimuona mtoto wa kiume anapenda kuandamana na mama yake kila mahali, hasa kwa wale wanawake wanaodanga, kuna asilimia kubwa ya mtoto huyo wa kiume kuiga matendo ya kike na hatimaye kutumbukia kwenye ushoga

MAONI YANGU
Mwanaume hupaswi kuwa soft na kupenda mambo ya kike kama vile kujipaka losheni, poda na pafyumu na ushenzi mwingine kama huo. Kwa mfano, mimi tangu nikiwa kijana hadi sasa nimekuwa babu mtarajiwa, sijwahi kujipaka hizo bidhaa za kishoga.
Natoa wito kwa wazazi, hasa wanaume, kuhakikisha kuwa mnawalea watoto wenu wa kiume kwa misingi thabithi ya kiafrika na kujiepusha na vtendo vinavyoweza kupelekea wakatumbukia kwenye ushoga. Hakikisha watoto wenu wa kiume wanakaa mbali na mama zao, hasa wakati wakiwa wadogo. Hii itawasaidia kutokuiga mambo ya kike na hatimaye kujiingiza kwenye ushoga unaoweza kuepukika. Samaki mkujne angali mbichi.
Nawasilisha.