Hatimaye wakiume apatikana, hakuna linaloshindikana

Well for sure, ninafahamu kuwa kuna private clinics wanafanya hivyo, fertizaliation inafanywa lab na wanaangalia yai unalolitaka ndiyo linapandikizwa, rumours has it Victoria Beckham went through this procedure to get her daughter.
sawa kabisa, lakini hata manual kwa kuifahamu vizuri MP pamoja na ovulation unaweza pata jinsia unayotaka mkuu,bila hata kwenda lab
 
Mabadiliko ya mfumo wa uchumi, leo hii wewe wa Kigoma unapata ajira Mtwara na wadada wa ki-Makonde hawatakuacha uwe mpweka.
kabisa,na kitakachofata ni kuwasaidia wazazi wa hyo mmakonde ili mwendane sawa.
kwa hiyo itabidi tu muwajibike kuwasaidia wazazi maana mfumo wa elimu ndo umeamua iwe ivo
 
Hayo ni maoni yangu... Kama yamekutachi kuna kona
Maoni yako yanaudhi umma! Nikisema baba yako ni shoga wangu au mama yako ni hawala yangu utakubali kuwa ni maoni yangu, inakubalika? inakubalika kwa vile eti ni maoni yangu?
 
Sisi kwetu tupo 10.
One mother & one father.
Na wote tupo hai.

Jina la bwana lihimidiwe.

Huwa nikiangalia picha ambazo tumepiga wote tukiwa pamoja . Im like wow!

"Amazing glory"
 
Hahahaa! Si mpaka waoaji wenyewe wawepo.

Kazaa vizuri, shape ya kila aina ipo hapo, maana huyo wa kwanza na wapili na huyo wa nne ni ile mizigo ya sheikh kipozeo, wengine wafupi, wengine warefu, naona na tege lipo hapo, naona pia kuna weupe sijui wa dukani?
Mwisho wa yote Mwanaume hakosi chaguo kwenye hiyo nyumba
 
Huyo wifi yao atakuwa na shida sana.
wanakuwaga very protective kwa kaka yao mpaka inaboa.
Nina anti yangu alikuwa na watoto kama hivi.
huyo wa kiume mpaka leo hajielewi.
Dada zake walikuwa wanambembeleza mpaka kipindi cha kukomaa akapoteana.
ameoa lakini mke wake wanamlea dada zake
 
Wamejipanga kwa kufuata seniority
Heshima yako baba na mama wa familia hiyo

Ila uwe na helaaa sio mchezo chai asubuhi ni mikate mitatu ya buku jero@1 pc jumla 4,500TZS
 
Ninafikiria tu kwa yale maisha yetu ya Kwamtogole, hapo asubuhi mama vitumbua anapata order ya maandazi 10, chapati 10, vitumbua 10 na vikijia nyumbani vinakatwa katwa ili wote mpate.
Sipati picha ada zao za shule na vyuo wanavyosoma
Mzee atakuwa anajikamua sana
 
Wamejipanga kwa kufuata seniority
Heshima yako baba na mama wa familia hiyo

Ila uwe na helaaa sio mchezo chai asubuhi ni mikate mitatu ya buku jero@1 pc jumla 4,500TZS
Hahaha nadhani bajeti ya siku ya msosi ni hatari hata uyo mpishi kazi anayo
 
Ninafikiria tu kwa yale maisha yetu ya Kwamtogole, hapo asubuhi mama vitumbua anapata order ya maandazi 10, chapati 10, vitumbua 10 na vikijia nyumbani vinakatwa katwa ili wote mpate.

Yeah, lakini kwa walipofikia hapo hao wadada wote 8 watakuwa na kwao, kasoro huyo mdada mmoja mdogo na huyo wa kiume watakuwa nyumbani...
 
Yeah, lakini kwa walipofikia hapo hao wadada wote 8 watakuwa na kwao, kasoro huyo mdada mmoja mdogo na huyo wa kiume watakuwa nyumbani...
Mkuu pamoja na hayo kuwakuza si shughuli ndogo, hapo sikukuu nyama ni kama kilo 5, siku za kawaida kilo mbili za nyama lazima zisindkizwe na maharage kwa tembele.
 
Back
Top Bottom