Pesa baba pesa, kama ipo ni kazi ndogoKama ni kweli sifa iende kwa mzazi mana ulezi wa watoto wote hao mpaka kufikia walipo si jambo la mchezo.
Mmhh! Haya baba yako nimekusikia.Pesa baba pesa, kama ipo ni kazi ndogo
au ukute baba anahaki ki DNA kwa watoto wawili tu hapo.Afu ukite huyo wa mwisho si wake
mbona hata ww unao! ngoja nije nikuonyeshe yani inakuwa ni bampa to bampa!mama yao anamoyo kweli haloo
mbona hata ww unao! ngoja nije nikuonyeshe yani inakuwa ni bampa to bampa!mama yao anamoyo kweli haloo
Huyo wa kiume atakuwa na bahati sana, mara shemeji huyu akulipie ada ya chuo, huyu amekununulia gari, huyu amekupa mtaji wa biashara ni full raha.Mbona hata hapa Bpngo familia kama hizi zipo? Mmimi naijua moja yeye namba kama hii na mvulana ndio mwa mwisho.
Ila hawa ni wakubwa na wote wameshaolewa.
Hata mama yangu ana moyo kweli maana alitufyatua 10 kama haomama yao anamoyo kweli haloo