Hatimaye TCU wameanza kuachia code

Hatimaye TCU wameanza kuachia code

hv udsm washaanza kutoa majina
bado hawajatoa ila ingia kwenye account yako uliyotumia kuaply angalia selection status yako, wameonesha huko Kama umechaguliwa fanya haraka uspoteze mda kusubiri hayo majina manana wanasema kunatatizo limetokea
 
mbna codes znakuwa hazina maana tena kwa udsm,maana hakuna sehem ya kuingiza code,kuna sehem ya ku-confirm tu...

embu angalieni account yangu hii apo attachment nmeiscreen shot
Mkuu kwani wewe una single au multiple selections? Najaribu kuwasoma UDSM mfumo wao kulinganisha na kile TCU wametuaminisha.
 
Oyaaa mm nishatuma code ardhi ilaaa bado cjapokewaa feedback
Mm tyr ardhi,
Screenshot_2018-09-05-07-35-31.jpg
 
#UDSM:CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KINAPENDA KUTANGAZIA UMMA KUWA KIMEFUNGUA DIRISHA LA UDAHILI AWAMU YA PILI KWA WAOMBAJI WA KOZI ZA DEGREE
 
hata ww umeona mkuu?udsm codes hazitumiki
Wakuu, tangu asubuhi saa 2 nahangaika hadi muda huu kuthibitisha UDSM lakini inakataa kabisa.

Nikifungua sehemu zote inakubali lakini kwenye kuthibitisha ndio inagoma kabisa.

Kuna tatizo gani wakuu? Kwa ambao mumefanikiwa tuelezeni namna ya kufanya
 
Nasikia wameongeza siku eti ni kweli?
 
Back
Top Bottom