Tall Complicator
Member
- Sep 3, 2018
- 14
- 5
OK pwNa mimi nasubiria hicho kitu mkuu, ukipata jibu tushtuane.
OK pwNa mimi nasubiria hicho kitu mkuu, ukipata jibu tushtuane.
Pia sijatumiwa mpaka sasa hivi sielew ttz nini haswaaHivi ni mimi tu ndo sijapata hizo codes mpaka sasa hivi ama kuna wenzangu?
Tujuane ambao mpaka sasa tunasubiria hizo codes na tuone tunapataje ufumbuzi maana leo ndo mwisho, kama ni kuwanunulia vocha TCU tuwanunulie tu ili waweze kutuma hizo msg za codes maana inaonekana vyuma vimekaza kwa upande wao mpaka wameshindwa kuunga "yunivasiti promosheni" watume "kodi"
Mm bdo pia cjapataHivi ni mimi tu ndo sijapata hizo codes mpaka sasa hivi ama kuna wenzangu?
Tujuane ambao mpaka sasa tunasubiria hizo codes na tuone tunapataje ufumbuzi maana leo ndo mwisho, kama ni kuwanunulia vocha TCU tuwanunulie tu ili waweze kutuma hizo msg za codes maana inaonekana vyuma vimekaza kwa upande wao mpaka wameshindwa kuunga "yunivasiti promosheni" watume "kodi"
Hata mm bado sijapata hizo codeHivi ni mimi tu ndo sijapata hizo codes mpaka sasa hivi ama kuna wenzangu?
Tujuane ambao mpaka sasa tunasubiria hizo codes na tuone tunapataje ufumbuzi maana leo ndo mwisho, kama ni kuwanunulia vocha TCU tuwanunulie tu ili waweze kutuma hizo msg za codes maana inaonekana vyuma vimekaza kwa upande wao mpaka wameshindwa kuunga "yunivasiti promosheni" watume "kodi"
maneno yanasema ingiza kodi uliyotumiwa wakati hakuna code iliyofika
hivi wakuu udsm hawajatoa hayo majina ya first round?????
Hivi wenye multiple selections UDSM watajuaje program waliochaguliwa? Au una confirm chuo bila kujua program. Nilitegemea chuo chetu KIKUBWA kiwe kimetoa majina na program mtu aliyochaguliwa kama wenzao wa UDOM, Mzumbe, na SUA. Au nacho kinakuwa "CHUO CHA KATA?" LoLNa mimi nasubiria hicho kitu mkuu, ukipata jibu tushtuane.
Ndio hicho kinachotatiza mkuu.Hivi wenye multiple selections UDSM watajuaje program waliochaguliwa? Au una confirm chuo bila kujua program. Nilitegemea chuo chetu KIKUBWA kiwe kimetoa majina na program mtu aliyochaguliwa kama wenzao wa UDOM, Mzumbe, na SUA. Au nacho kinakuwa "CHUO CHA KATA?" LoL
yeahHivi wakuu kuna yeyote yule ambaye tayari kapata code na tayari amefanikisha kuthibitisha chuo anachokitaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kwa nini swala dogo kama hili linaumiza vijana wetu kwa kiasi hiki? Sasa hivi hawa wanaosubiri hizi code hawana amani kwa kuwa hakuna chochote kutoka huko TCU cha kuwatia hata moyo. Hapo ofisini kila mtu na kitengo chake yupo, mkurugenzi wa TCU yupo, wasaidizi wake wapo, wizara ipo, waziri yupo sasa kwanini haya yote.......sometimes JPM Hakoseagi anapoamka nao na kulala nao mbele!
Yani mkuu waache tu,huko maofisini wamerelax tu wakati huku madogo wanahangahika tu,wasengerema tuHivi ni kwa nini swala dogo kama hili linaumiza vijana wetu kwa kiasi hiki? Sasa hivi hawa wanaosubiri hizi code hawana amani kwa kuwa hakuna chochote kutoka huko TCU cha kuwatia hata moyo. Hapo ofisini kila mtu na kitengo chake yupo, mkurugenzi wa TCU yupo, wasaidizi wake wapo, wizara ipo, waziri yupo sasa kwanini haya yote.......sometimes JPM Hakoseagi anapoamka nao na kulala nao mbele!
Mi mwenyew nasubiria code bado hawajanitumiaHivi ni mimi tu ndo sijapata hizo codes mpaka sasa hivi ama kuna wenzangu?
Tujuane ambao mpaka sasa tunasubiria hizo codes na tuone tunapataje ufumbuzi maana leo ndo mwisho, kama ni kuwanunulia vocha TCU tuwanunulie tu ili waweze kutuma hizo msg za codes maana inaonekana vyuma vimekaza kwa upande wao mpaka wameshindwa kuunga "yunivasiti promosheni" watume "kodi"
jana mkuu
Sijui UDSM wamekumbana na nini? Kila mtu kimyajamani kuna mtu wa udsm ambae account yake tayari imeshakuwa updated ili aweke confirmation code?
Nenda internet cafe ukacheki Kila chuo majina yawaliochaguliwa.Wakuu, samahani kama nitakuwa nauliza swali ambalo limeshajibiwa huko nyuma. Ni hivi, kama jina halipo kwenye haya majina, basi inawezekana muhusika, kachaguliwa chuo kimoja, au hajachaguliwa kabisa. Sasa nitajuaje kwa hayo mambo mawili?