Hatimaye TCU wameanza kuachia code

Hatimaye TCU wameanza kuachia code

Wakuu, tangu asubuhi saa 2 nahangaika hadi muda huu kuthibitisha UDSM lakini inakataa kabisa.

Nikifungua sehemu zote inakubali lakini kwenye kuthibitisha ndio inagoma kabisa.

Kuna tatizo gani wakuu? Kwa ambao mumefanikiwa tuelezeni namna ya kufanya
kuna kipengele cha kuweka code?au una unaconfirm tu bila kuweka code?
 
Nilitegemea vyuo vyote vinafuata mchakato ulio wekwa, sasa kama wao una confirm bila kutumia code imekuwaje? Karibu vyuo vyote vimetoa orodha ya waliochaguliwa (single na multiple) lakini UDSM sioni kitu yaani mnamalizana ndani kwa ndani. Naona hawataki tujue nani wamechaguliwa huko au nani ameconfirm huko.
mimi mwenyewe nmeshangaa kweli....maana nlitumiwa code juzi usiku,sasa jana nmeingia ili niingize code afu niconfirm,nashangaa nakuta option ya ku-confirm tu bila kiweka code popote pale...na nlivofanya hivo nkaona imekubali kwamba nmekuwa confirmed....
angalia hapa nimesceen shot
 

Attachments

  • Screenshot (11).png
    Screenshot (11).png
    44.3 KB · Views: 38
nilikuwepo TCU Leo kufatilia mambo ya uncle wangu jamaa amenambia mwisho ni kesho saa 6 kasoro 1 usiku..wanavyodai eti kila muombaji ameshatumiwa code eti maswala ya mitandao tu ndo yanazingua
Duh bora ningeomba chuo kimoja tu
 
Back
Top Bottom