sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,610
- 2,158
Wananambia "use this code to confirm" alaf code yenyewe haipo ni maneno tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wananambia "use this code to confirm" alaf code yenyewe haipo ni maneno tu.
Hapo mkuu fanya kuwasiliana na tcu tu,maana kule kwao wanajua wameshakutumia hivyoWananambia "use this code to confirm" alaf code yenyewe haipo ni maneno tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntafanya hivyo kesho mkuu.Hapo mkuu fanya kuwasiliana na tcu tu,maana kule kwao wanajua wameshakutumia hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili tatizo lipo sana Hata dogo nae hivyo hivyo msg inakuja bila code
Wanatuma namba?Dogo kapokea confirmation code dakika chache zilizopita.
Watasababisha matatizo ya kuomba tena vyuo.Hili tatizo lipo sana Hata dogo nae hivyo hivyo msg inakuja bila code
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujua ni mpaka hapo vyuo ulivyoomba vitatoa majina ya waliochaguliwa raundi ya kwanza baada ya zoezi la kuconfirm kukamilika. Ila vyuo vingine tayari vimeshatoa majina ya wenye multiple allocation na wenye allocation moja tu.Wakuu, samahani kama nitakuwa nauliza swali ambalo limeshajibiwa huko nyuma. Ni hivi, kama jina halipo kwenye haya majina, basi inawezekana muhusika, kachaguliwa chuo kimoja, au hajachaguliwa kabisa. Sasa nitajuaje kwa hayo mambo mawili?
Sasa umeshachaguliwa, unataka ku apply nn tena?? Au ulvokua una apply ivyo vyuo ulkua huvitak??Kama umechaguliwa chuo kimoja. Unaweza ukapply chuo kingine kwa second round?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Tujulishane, ,, kama mmoja wetu akiwah kupata solution ya hilo tatzo!! Wapo weng wenye tatzo kama hilo mkuu
Nakushukuru!Kujua ni mpaka hapo vyuo ulivyoomba vitatoa majina ya waliochaguliwa raundi ya kwanza baada ya zoezi la kuconfirm kukamilika. Ila vyuo vingine tayari vimeshatoa majina ya wenye multiple allocation na wenye allocation moja tu.
Utajua pindi vyuo husika ulivyoapply vikitoa majina yake ya waliowachagua na TCU ikija kutoa final applicants walioselectiwa first round kabla ya trh 6Wakuu, samahani kama nitakuwa nauliza swali ambalo limeshajibiwa huko nyuma. Ni hivi, kama jina halipo kwenye haya majina, basi inawezekana muhusika, kachaguliwa chuo kimoja, au hajachaguliwa kabisa. Sasa nitajuaje kwa hayo mambo mawili?
hivi wakuu udsm hawajatoa hayo majina ya first round?????Utajua pindi vyuo husika ulivyoapply vikitoa majina yake ya waliowachagua na TCU ikija kutoa final applicants walioselectiwa first round kabla ya trh 6
Na mimi nasubiria hicho kitu mkuu, ukipata jibu tushtuane.hivi wakuu udsm hawajatoa hayo majina ya first round?????