Hatimaye TCU wameanza kuachia code

Hatimaye TCU wameanza kuachia code

hata ww umeona mkuu?udsm codes hazitumiki
Nilitegemea vyuo vyote vinafuata mchakato ulio wekwa, sasa kama wao una confirm bila kutumia code imekuwaje? Karibu vyuo vyote vimetoa orodha ya waliochaguliwa (single na multiple) lakini UDSM sioni kitu yaani mnamalizana ndani kwa ndani. Naona hawataki tujue nani wamechaguliwa huko au nani ameconfirm huko.
 
Yaan ni shida hadi nahic ndoto ya kuingia udsm yakata
Nilijitia kiherehere cha kimfanyia dogo Application sasa najuta, tangu asubuhi nahangaika tu kuthibitisha halafu inakataa.

UDSM chuo kikubwa namna lakini wanafanya mambo ya hovyo.
 
Nilijitia kiherehere cha kimfanyia dogo Application sasa najuta, tangu asubuhi nahangaika tu kuthibitisha halafu inakataa.

UDSM chuo kikubwa namna lakini wanafanya mambo ya hovyo.
No balaa ila sikati tamaa nasubiri udsm ipo damuni
 
Ngoja nikomae nimthibitishie dogo akaione ardhi UDSM huko
nilikuwepo TCU Leo kufatilia mambo ya uncle wangu jamaa amenambia mwisho ni kesho saa 6 kasoro 1 usiku..wanavyodai eti kila muombaji ameshatumiwa code eti maswala ya mitandao tu ndo yanazingua
 
nilikuwepo TCU Leo kufatilia mambo ya uncle wangu jamaa amenambia mwisho ni kesho saa 6 kasoro 1 usiku..wanavyodai eti kila muombaji ameshatumiwa code eti maswala ya mitandao tu ndo yanazingua
Nimechoka kuhangaika kwa sasa nimeacha kwanza, nitawaibukia usiku wa manane nione kama itazingua tena.

Hadi leo asubuhi kuna wapo walikuwa wanasema hawakapata Codes, kama wametumiwa leo hapo afadhali maana wengine walianza kukata tamaa.
 
UDSM kwenye orodha waliyo toa leo wanasema mwisho wa ku -confirm ni September 10, 2018.
 
ndio

skuombwa code kaka,nmepewa option ya ku-confirm tu......
ila kw vyuo vingne option hio ya code ipo
Utaratibu wote unataka uconfirm kwa code. Bila hivyo TCU haitatambua confirmation yako. Labda kama huo utaratibu watauacha kwa sababu ya changamoto iliyotokea kwa wengi.
 
Wakuu, tangu asubuhi saa 2 nahangaika hadi muda huu kuthibitisha UDSM lakini inakataa kabisa.

Nikifungua sehemu zote inakubali lakini kwenye kuthibitisha ndio inagoma kabisa.

Kuna tatizo gani wakuu? Kwa ambao mumefanikiwa tuelezeni namna ya kufanya
Ni suala la kumwomba Mungu na kurudia rudia mara nyingi bila kukata tamaa. Lakini pia kuna herufi tata kama vile "capital ai" I na small "letter el" l Hizi zikiwemo kwenye code si rahisi kuzitofaitisha. Njia salama hapo ni kucopy code na kuipaste panapotakiwa.
 
Nimechoka kuhangaika kwa sasa nimeacha kwanza, nitawaibukia usiku wa manane nione kama itazingua tena.

Hadi leo asubuhi kuna wapo walikuwa wanasema hawakapata Codes, kama wametumiwa leo hapo afadhali maana wengine walianza kukata tamaa.
mkuu, mimi nime confirm usiku wa manane haijakubali. kuna yeyote yule aliye confirm ikamkubalia?
 
Hivi ni mimi tu ndo sijapata hizo codes mpaka sasa hivi ama kuna wenzangu?
Tujuane ambao mpaka sasa tunasubiria hizo codes na tuone tunapataje ufumbuzi maana leo ndo mwisho, kama ni kuwanunulia vocha TCU tuwanunulie tu ili waweze kutuma hizo msg za codes maana inaonekana vyuma vimekaza kwa upande wao mpaka wameshindwa kuunga "yunivasiti promosheni" watume "kodi"
Aise na Mimi cjapata hizo code mpaka leo
 
mwenye namba ya udom jamani anisaidie admission contacts
 
Back
Top Bottom