mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,037
Dogo kapokea confirmation code dakika chache zilizopita.
Hzo code zko wapbaada ya makele meengi. tcu waongeze muda wao ndo wamechelewesha.....
inasemekana kuna baadhi wamepata zinatumwa na tcu kwa sms kwenye simu yako ya mkononiHzo code zko wap
Chuo hakitoi code mkuu...mbona ndio zmeanza tumwa...una haraka gani...?Wakuu,dogo hajapata hizo code kwa hiyo kuna haja ya kupiga simu chuo husika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah! Mkuu dogo kachanganyikiwa kabisaaa,mpaka sasa kimya alafu kesho ni tarehe ya mwishoChuo hakitoi code mkuu...mbona ndio zmeanza tumwa...una haraka gani...?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Daaah! Mkuu dogo kachanganyikiwa kabisaaa,mpaka sasa kimya alafu kesho ni tarehe ya mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah! Hamna noma mkuu,ngoja tusubiri kesho hiyo basiAsiwe na presha..shida sio yake..shida ni TCU wao wenyew...kingine kesho ndefu mkuu...atatumiwa tu...na hayupo peke yake
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
wanatuma kwenye namba ya simu aliyoandika wakati wa ku-apply.Hzo code zko wap