Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Makosa yake hayana dhamana ndio maana hadi sasa yupo gerezani, tuwe wapole tuache mahakama ifanye kazi yake...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umeandika kuwa Kabendera ni mchochezi. Na mimi nimeuliza kama ni mchochezi kwa nini hajashitakiwa kwa uchochezi!? Je, huu ndio uzalendo wa kubambikia watu kesi.za uongo zisizo na dhamana.ili wasote magerezani? Hiki ndicho mnachokitetea ninyi wazalendo uchwara!?
 
We jamaa ni mjinga sana ! hivi mwisho wa madikteta wote huujui au unajisahaulisha ? mmeshindwa hoja sasa mmeamua kuwabambika vijana kesi za kizushi , nakuhakikishia kwamba hata nyie wabambikaji hamko salama hata chembe , what goes around comes around.

Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Kila mmoja abebe msalaba wake asee, mambo mengi mda mchache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupambana na dola bila mass support ,is the fucking decision ....
ktk hii nchi nani anapambana na dola? mtu ukiwa na mawazo tofauti na watawala means ww unapambana nao? tuache mawazo ya kishamba mtawala hana uvumilivu wa kisiasa hataki kukosolewa na hili limeshuka hadi kwa wasaidizi wake ila hao mnaowateka na kuwaua yawezekana ndo wazalendo halisi wa hii nchi kuliko nyie mnaopamban kujaza matumbo yenu kupitia system iliyopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea utoto gani? Naona unajaribu kupandikiza uoga. Kama huna hoja sio lazima ianzishe uzi.

Unasema watu wakosoe kwa staha na maoni yao yatafanyiwa kazi.

Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi inadaiwa zaidi ya miaka 20 na bado hazijapatikana, je ni busara gani mnahitaji zaidi ya uvumilivu wote huo?

Nenda mahakamani kisha ukishinda kesi alafu serikari ikashindwa kutekeleza sasa ingia barabarani utakuwa na haki, kuliko kutoa matusi na kejeri eti unakosoa.
 
Ulitaka wanasiasa nao waende pale kisutu waseme waunganishwe nae kwenye mashitaka! Hii mindset yako ndiyo kichaka cha watawala kufanya uonevu wakijua HAKUNA UMOJA kwa watu. Kama wakina Nyerere & wote waliopambana na wakoloni wangekuwa na mawazo kama yako,sijui tungekuwa wapi! Mandela pia ulitaka wanasiasa wenzake waende pale kisiwani wajiunge nae kwenye mashtaka!
siwezi kukubali kuwa daraja hata siku moja.nitasimama kupigania haki yangu pale ninapoona chakula changu kinapokonywa.habari za kuropoka ropoka na kujidai mjuaji huku nikisifiwa na wanasiasa,yakinikuta na baki mimi na familia yangu kamwe siwezi kufanya.kabendera anateseka gerezani peke yake,familia yake inahangaika peke yao,wanasiasa waliokuwa wapo nyuma yake wapo mbali saizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda mahakamani kisha ukishinda kesi alafu serikari ikashindwa kutekeleza sasa ingia barabarani utakuwa na haki, kuliko kutoa matusi na kejeri eti unakosoa.

Uko sahihi, je bado unaamini kuna mahakama za kutenda haki ambayo serikali itakuwa muhanga? Labda sio mahamaka hiz ambazo haki mkuu yuko kwenye msafara wa rais kuzindua visima vya maji.
 
ktk hii nchi nani anapambana na dola? mtu ukiwa na mawazo tofauti na watawala means ww unapambana nao? tuache mawazo ya kishamba mtawala hana uvumilivu wa kisiasa hataki kukosolewa na hili limeshuka hadi kwa wasaidizi wake ila hao mnaowateka na kuwaua yawezekana ndo wazalendo halisi wa hii nchi kuliko nyie mnaopamban kujaza matumbo yenu kupitia system iliyopo

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna uoga ukiwa sneak kwa kutumia mgongo wa ukosoaji lazima ujibu, sneaks hana sifa ya ukosoaji huyo ni mharifu tu, unatafuta data za serikari ili upeleke unakojua au unasingizia uongo ili umuharibie mwenzako huo sio ukosiaji, ni uhalifu kma uhalifu mwingine. Badilikeni na mkosoe kwa nia ya kujenga nchi sio kuharibu nchi.
 
Wanasiasa wamekaa wametulia, wa
Ulitaka wanasiasa nao waende pale kisutu waseme waunganishwe nae kwenye mashitaka! Hii mindset yako ndiyo kichaka cha watawala kufanya uonevu wakijua HAKUNA UMOJA kwa watu. Kama wakina Nyerere & wote waliopambana na wakoloni wangekuwa na mawazo kama yako,sijui tungekuwa wapi! Mandela pia ulitaka wanasiasa wenzake waende pale kisiwani wajiunge nae kwenye mashtaka!

Sent using Jamii Forums mobile app

wafanye vurugu kumsapoti hata kama nao watapelekwa gerezani lakini itamtia moyo kwamba hayupo peke, sasa wamekaa kimya wanasubili nani amsaidie kabendera familia yake au?
 
Ila kumshitak mtu kwa kutakatisha fedha halafu unataja milioni 17 ambayo nikienda bank naikopa narejesha kwa miaka 5, siyo poa kabisa. Angalau iwe hata robo bilioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitaka wanasiasa nao waende pale kisutu waseme waunganishwe nae kwenye mashitaka! Hii mindset yako ndiyo kichaka cha watawala kufanya uonevu wakijua HAKUNA UMOJA kwa watu. Kama wakina Nyerere & wote waliopambana na wakoloni wangekuwa na mawazo kama yako,sijui tungekuwa wapi! Mandela pia ulitaka wanasiasa wenzake waende pale kisiwani wajiunge nae kwenye mashtaka!

Sent using Jamii Forums mobile app
mwenzangu unaonyesha ujasili haoa jamii forums lakini huko mitaani mnafyata mkia.mange aliwashawishi muandamane mliandamana?acheni kudanganyana.
 
hata
Mtaendelea Kuwa makondoo hivyo hivyo . Na ndio tatizo lenu watanzania . You guys are too goigoi with unbelievable inferiority ..
Mimi huwa nasema kama we mtu huna tabia ya kudefend haki zako basi hufai kuitwa binadamu . We ni the walking dead

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe sio jasili hata kidogo majasili wote wanakesi mahakamani za kutakatisha fedha.usijifiche nyuma ya jamii forums jitokeze uhesabiwe
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi ,hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana una uelewa mdogo wa mambo katika huu ulimwengu Leo waweza jiona mshindi kwa kumshikilia Titto bt Kuna direct and indirect impact kwa hiki kilichofanyika eg Ulimsikia Dr Slaa anavyolalamika kwamba wanapata tabu sana kuwaconvince watalii kuja Tz nw cz inaonekana sio sehemu salama tena? shangilieni sana ila mjue mnatuchafulia taifa letu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom