Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,843
3,128
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi ,hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea utoto gani? Naona unajaribu kupandikiza uoga. Kama huna hoja sio lazima ianzishe uzi.

Unasema watu wakosoe kwa staha na maoni yao yatafanyiwa kazi.

Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi inadaiwa zaidi ya miaka 20 na bado hazijapatikana, je ni busara gani mnahitaji zaidi ya uvumilivu wote huo?
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana ,na kwa muundo wake haijawahi kushindwa,hua ni suala la.muda tu.
Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana ,kwa maana ya madhara utakayo yapata wewe binafsi,familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema ,nasema haiwezekani.

Nashauri wale mnaojiita wpambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.
Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala,yatafanyiwa kazi hii ni imani yangu.
Kutusi,kudhihaki,kukejeri,kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo,mtaumia ,kwani kila.zama na kitabu chake,someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe.

Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani ,ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020,safari ndio kwanza imeanza
Narudia tena serikali haishindwi ,ni suala la muda tu,ukiona mwenzako ananyolewa tia maji

Sent using Jamii Forums mobile app
ElBashir yupo wapi?
 
..serikali na dola zinaundwa na watu.

..na wamekabidhiwa nyenzo wazitumie ktk kutenda kazi zao.

..sasa siyo vizuri kutumia nafasi mlizopewa kuonea na kuumiza wenzenu.
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana ,na kwa muundo wake haijawahi kushindwa,hua ni suala la.muda tu.
Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana ,kwa maana ya madhara utakayo yapata wewe binafsi,familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema ,nasema haiwezekani.

Nashauri wale mnaojiita wpambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.
Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala,yatafanyiwa kazi hii ni imani yangu.
Kutusi,kudhihaki,kukejeri,kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo,mtaumia ,kwani kila.zama na kitabu chake,someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe.

Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani ,ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020,safari ndio kwanza imeanza
Narudia tena serikali haishindwi ,ni suala la muda tu,ukiona mwenzako ananyolewa tia maji

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko jela wanaweza kutuweka wote tukaenenea?????.... Kila wanapo jaribu kutunyamazisha ndipo tunazidi kuongezeka....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe endelea.kujificha nyuma a keyboards,ukweli ndio huo hutaki acha
Unaongea utoto gani? Naona unajaribu kupandikiza uoga. Kama huna hoja sio lazima ianzishe uzi. Unasema watu wakosoe kwa staha na maoni yao yatafanyiwa kazi. Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi inadaiwa zaidi ya miaka 20 na bado hazipatikana, je ni busara gani mnahitaji zaidi ya uvumilivu wote huo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana ,na kwa muundo wake haijawahi kushindwa,hua ni suala la.muda tu.
Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana ,kwa maana ya madhara utakayo yapata wewe binafsi,familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema ,nasema haiwezekani.

Nashauri wale mnaojiita wpambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.
Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala,yatafanyiwa kazi hii ni imani yangu.
Kutusi,kudhihaki,kukejeri,kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo,mtaumia ,kwani kila.zama na kitabu chake,someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe.

Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani ,ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020,safari ndio kwanza imeanza
Narudia tena serikali haishindwi ,ni suala la muda tu,ukiona mwenzako ananyolewa tia maji

Sent using Jamii Forums mobile app
The gaverment should fear about the people and not the people should fear about the gaverment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema serikali haijawahi kushindwa? Mbona imeshindwa kuondoa umaskini?
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana ,na kwa muundo wake haijawahi kushindwa,hua ni suala la.muda tu.
Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana ,kwa maana ya madhara utakayo yapata wewe binafsi,familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema ,nasema haiwezekani.

Nashauri wale mnaojiita wpambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.
Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala,yatafanyiwa kazi hii ni imani yangu.
Kutusi,kudhihaki,kukejeri,kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo,mtaumia ,kwani kila.zama na kitabu chake,someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe.

Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani ,ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020,safari ndio kwanza imeanza
Narudia tena serikali haishindwi ,ni suala la muda tu,ukiona mwenzako ananyolewa tia maji

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea utoto gani? Naona unajaribu kupandikiza uoga. Kama huna hoja sio lazima ianzishe uzi. Unasema watu wakosoe kwa staha na maoni yao yatafanyiwa kazi. Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi inadaiwa zaidi ya miaka 20 na bado hazipatikana, je ni busara gani mnahitaji zaidi ya uvumilivu wote huo?
Unapenda kusakizia wenzako, wewe kama si mwoga anzisha vagi
 
The Coward people die many times before their real death..!
images%20(2).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom