Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Kupambana na dola bila mass support ,is the fucking decision ....
only fools like you can accept this.they are starter of what others thinks.wakikamata segerea ikajaa,automatically mass support will rise.matter of time
 
Kabisa yaani. Yaani yakikukuta unahangaika kivyako. Hakuna alie nyuma yako. Wanakusupport nyuma ya internet.
Watanzania wengi ni wazuri sana katika kukushangilia lakini ukiaanza kupata misukosuko huwezi kuwaona tena!

Kwa maana nyingine, watanzania wanaweza kukutumia kama kifurahisho/kiburudisho lakini ukipata misukosuko wanakuacha na kuhamia kwenye kiburudisho kingine!
 
Unaongea utoto gani? Naona unajaribu kupandikiza uoga. Kama huna hoja sio lazima ianzishe uzi.

Unasema watu wakosoe kwa staha na maoni yao yatafanyiwa kazi.

Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi inadaiwa zaidi ya miaka 20 na bado hazipatikana, je ni busara gani mnahitaji zaidi ya uvumilivu wote huo?
Huko kwenu mmeshindwa kuidai katiba iweke ukomo wa mwenyekiti, mnataka katiba ya JMT mtaweza??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu umemaliza kila kitu hapo. Wenye macho hawaambiwi Tazama.
 
Unaongea utoto gani? Naona unajaribu kupandikiza uoga. Kama huna hoja sio lazima ianzishe uzi.

Unasema watu wakosoe kwa staha na maoni yao yatafanyiwa kazi.

Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi inadaiwa zaidi ya miaka 20 na bado hazipatikana, je ni busara gani mnahitaji zaidi ya uvumilivu wote huo?
Ni rahisi sana kuongea nyuma ya screen. Leo hata pale Kisutu haukuwepo.
 
only fools like you can accept this.they are starter of what others thinks.wakikamata segerea ikajaa,automatically mass support will rise.matter of time
Ukitaka kuamini hicho unachozungumza hakipo, njoo na ID yenye jina kamili! Wengi humu tunatumia fake ID alafu tunajifanya wapambanani, ushuzi mtupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndio wale roho zenu zikiwa zinatolewa na malaika mtoa roho mnatapatapa mnoo wengine mpaka wanaruka ruka, hadi wakandamizwe ndio wanatulia jinsi wanavyolewa roho kikatili.... Na nyinyi siku yenu yaja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudia kusoma thread upya,nimekwambia hiyo sio excuse,jifunzeni adabu kwa wakubwa mtafanikiwa maishani mwenu
..serikali na dola zinaundwa na watu.

..na wamekabidhiwa nyenzo wazitumie ktk kutenda kazi zao.

..sasa siyo vizuri kutumia nafasi mlizopewa kuonea na kuumiza wenzenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hutaki kukosolewa nenda ukasamamie familia yako
 

Attachments

  • osUKMiYKord3-ygZ.mp4
    44.1 KB
Back
Top Bottom