Mleta mada kama mama ako(mwanamke jasiri),angekua moga kama ulivo joga wewe nawaliokutuma,asingerudia kushika mimba nyingine ili akakusukume labour room... ...hebu acheni kusifia huu uchuro wadola iliyoshindwa.huna adabu mwehu wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesi ambazo ushaidi huukamiliki ni uonevu tu
Kwa hiyo.unataka.wale wanaofanya kazi kwenye taasisi.mfano LHRC wasifanye kazi yao kwa sababu watatekwa, kuteswa au hata kuuawa!? Au waandishi wasiandike habari fulani kwa sababu nao yatawakuta hayo hayo? Wamiliki wa mitandao mfano jamiiforums wafunge mitandao yao au kuchuja maoni ya watumiaji ili yasiwakute hayo. Au pale unapoona uovu hata kama huna nguvu za kuuzuia japo kuukemea ushindwe!? Wanajeshi nao waachane na kazi kwa sababu watatoka.kafara vitani!?Kabisa yaani. Yaani yakikukuta unahangaika kivyako. Hakuna alie nyuma yako. Wanakusupport nyuma ya internet.
Dua la kuku hilo ndugu. Umengeanza kwanza kufunua uhalisia wakoElBashir yupo wapi?
Nani kaumizwa? Si walitaka apelekwe mahakamani?..serikali na dola zinaundwa na watu.
..na wamekabidhiwa nyenzo wazitumie ktk kutenda kazi zao.
..sasa siyo vizuri kutumia nafasi mlizopewa kuonea na kuumiza wenzenu.
Achana na hawa wameishachanganyikiwa na maisha..Kauli za mtoto wa kikopo hujulikana wazi ,hakika wewe ni mtoto wa kikopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kamanda jitokeze hadharanionly fools like you can accept this.they are starter of what others thinks.wakikamata segerea ikajaa,automatically mass support will rise.matter of time
Hivi.wanaotekwa wote ni wanasiasa eeh!? Sikuwahi kujua hili.Na hiyo ndio kazi ,kina vijana wamehangaika na kuumia kisa wanasiasa na leo wako ccm
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwemo na weweNa hiyo ndio kazi ,kina vijana wamehangaika na kuumia kisa wanasiasa na leo wako ccm
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said madame..Kabisa yaani. Yaani yakikukuta unahangaika kivyako. Hakuna alie nyuma yako. Wanakusupport nyuma ya internet.
Wanaotesa familia.za watu ni hao madhalimu wanaowatupa wenzao magerezani. Kwa hiyo wewe umekuwa.mahakama na hukumu umetoa.tayari. Kama.Kabendera mchochezi kama unavyodai, kwa nini asipewe shitaka la uchochezi!? Kama huu si udhalimu ni nini!? Honestly huu uchafu ungebaki nao tu kuliko kuja kuumwaga hapa mzalendo uchwara wewe.Achana na hawa wameishachanganyikiwa na maisha..
Penye ukweli lazma pasemwe, vijana wanatafuta ujiko huko mitandaoni lakni mwisho wa siku wanaishia kuwapa tabu wazazi na ndugu zao...
Refer mama kabendera alilia mbele ya camera kwa ajili ya mtoto wake, ila hakujua mtoto wake ni mchochezi..
Niwaase tu vijana wajifunze kutumia mitandao ya jamii vizuri, isitoshe huko kwenye mitandao especially twitter ni % chache tu ya watanzania wako huko, sasa uwo umaarufu wanaoutafuta sijajua unawanufaisha vipi zaidi ya kutesa familia zao...
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na hawa wameishachanganyikiwa na maisha..

Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.
Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.
Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.
Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.
Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.
Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi ,hii ni imani yangu.
Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.
Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.
Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.
Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Makosa yake hayana dhamana ndio maana hadi sasa yupo gerezani, tuwe wapole tuache mahakama ifanye kazi yake...Wanaotesa familia.za watu ni hao madhalimu wanaowatupa wenzao magerezani. Kwa hiyo wewe umekuwa.mahakama na hukumu umetoa.tayari. Kama.Kabendera mchochezi kama unavyodai, kwa nini asipewe shitaka la uchochezi!? Kama huu si udhalimu ni nini!?
We jamaa ni mjinga sana ! hivi mwisho wa madikteta wote huujui au unajisahaulisha ? mmeshindwa hoja sasa mmeamua kuwabambika vijana kesi za kizushi , nakuhakikishia kwamba hata nyie wabambikaji hamko salama hata chembe , what goes around comes around.Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.
Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.
Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.
Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.
Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.
Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi ,hii ni imani yangu.
Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.
Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.
Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.
Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.
Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.
Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.
Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.
Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.
Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi ,hii ni imani yangu.
Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.
Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.
Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.
Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Voltaire pia halikuwa jina lake lilikuwa la kiuandishi.Hebu kamsome Voltaire.