Bipolar caseAcha ushamba wewe...nyuma ya screen ndio wapi? Vipi una trichomonas?
Sent using Jamii Forums mobile app

Umasiki ni fikra za Mtu mwenyewe kuanzia vipaumbele vyake, Serikali kazi yake ni kuweka USAWA na ndio kitu Awamu ya tano inakifanya ikiongozwa na namba moja JPM tafadhali makofi kwake ya pongezi.Unasema serikali haijawahi kushindwa? Mbona imeshindwa kuondoa umaskini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Only in dictactorship government,democratic government people respect and not fear.gaverment but they should fear the government
Umasikini ni mchakato utokanao na sera mbovu.Serikali makini hazikomoi watu wakeUmasiki ni fikra za Mtu mwenyewe kuanzia vipaumbele vyake, Serikali kazi yake ni kuweka USAWA na ndio kitu Awamu ya tano inakifanya ikiongozwa na namba moja JPM tafadhali makofi kwake ya pongezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Idiot!
Uko sahihi, je bado unaamini kuna mahakama za kutenda haki ambayo serikali itakuwa muhanga? Labda sio mahamaka hiz ambazo haki mkuu yuko kwenye msafara wa rais kuzindua visima vya maji.
Nenda mahakamani kisha ukishinda kesi alafu serikari ikashindwa kutekeleza sasa ingia barabarani utakuwa na haki, kuliko kutoa matusi na kejeri eti unakosoa.
mwenzangu unaonyesha ujasili haoa jamii forums lakini huko mitaani mnafyata mkia.mange aliwashawishi muandamane mliandamana?acheni kudanganyana.
Hiyo rais ni taasisi ni porojo tu. Rais anayeamua kila kitu anavyotaka yeye ndio taasisi hiyo. Labda taasisi ya nyumbani kwenu.Tatizo ni pale 'wanaharakati' wanakuwa makada na makamanda vya vyama vya siasa. Jana nimeona tamko la kituo cha haki za binadamu kuhusu bwana Magoti limekaa kisiasa mwanzo mwisho. Serikali ina mkono mrefu na rais wa nchi ni taasisi, ukipambana na rais unapambana na taasisi, kuna watu wataamua juu yako bila maelekezo toka kwa rais mwenyewe
Jamaa anaandika utadhani nchi imezaliwa na mama yake bwana. Duh. Yaliyomo ni ya wote jamani. Tusijipe hati miliki kibabe. Yana mwisho haya mbona....Unaongea utoto gani? Naona unajaribu kupandikiza uoga. Kama huna hoja sio lazima ianzishe uzi.
Unasema watu wakosoe kwa staha na maoni yao yatafanyiwa kazi.
Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi inadaiwa zaidi ya miaka 20 na bado hazijapatikana, je ni busara gani mnahitaji zaidi ya uvumilivu wote huo?
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.
Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.
Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.
Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.
Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.
Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi ,hii ni imani yangu.
Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.
Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.
Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.
Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa.Busara itumike ktk kushaur serikali.Matusi na dhihaka hazifai na zikiendelea WAPIGWE TU maana hakuna namna.Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.
Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.
Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.
Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.
Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.
Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi ,hii ni imani yangu.
Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.
Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.
Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.
Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka Mandela pia alinyooshwa na hizi dola unazojinadi nazoSerikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.
Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.
Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.
Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.
Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.
Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi ,hii ni imani yangu.
Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.
Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.
Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.
Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyuma ya screen ni nyuma ya simu au computer yako.Acha ushamba wewe...nyuma ya screen ndio wapi? Vipi una trichomonas?
Sent using Jamii Forums mobile app