Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Ww ndie yule unakosoa kwa matusi iko siku yakikukuta ndio utajua

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha vitisho vya kijinga, tekelezeni wajibu na jirekebisheni. Kuna madai mengi ya msingi na hamuyafanyii kazi kwa ajili ya kiburi cha madaraka, siku watu wakiawaamulia ndio mtajua. Hayo matendo ya kufanyiziana usidhani ni kwa nyie mlio madarakani tu, iko siku watu watageuza meza na hutaamini.
 
Rudi ukafundishwe tena. Hakuna ubabe wa milele. Angalia makaburu SA.
Wameomba maridhiano na watekaji. Mtu unapinga maovu unaanzia wapi kuomba maridhiano na muovu ? Yaani wapinzani wa CCM bwana. Hii nchi ukitaka kuishi kwa raha bora uwe hauna chama chochote cha siasa kama mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkono wenu "mrefu" haufiki huko. Vitisho mbuzi ndio vinazidi kuwatenga. Hamtoweza kulazimisha kukubalika.
Which difference ?Kama mwanaume njoo na ID real na uwe unacriticize?Wanaume walikuwa kina Voltaire tu. Alicriticize hadi akafanikiwa kuseparate dini na serikali kule France. Hebu kamsome Voltaire.
Ila kama ni kwa kutumia ma ID fake jua hatuna tofauti. Wote ni waoga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wako kama wewe lakini unyonge huo utaisha. Mbona Jiwe analindwa na battalion kuliko ni?
Hujanielewa. Hata mimi nasikitika sana kuwa kwenye hiyo hali. Angalia wale viongozi Daruso kilichowakuta. Na hakuna hata wanafunzi walau waliopambana viongozi wao waliposimamishwa masomo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajona ume andika vitu vya maana kumbe utok.0 tu
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mazingira unaona kabisa haki/justice imepewa maana nyingine kabisa.

stronger means justice
weaker means injustice

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Yakikukuta mimi simo
Kiujumla hamna cha maana ulichoongea, kila mtu ana stahili yake ya kutoa maoni, malalamiko, au hisia zake, na inategemea na jinsi jambo lilivyo mgusa, uwezi kuwafanya wawe na mtindo mmoja, kufanya wawe na mtindo mmoja ni jukumu lako kuamua kuwafunga, kuwateka, kuwapoteza, kuwafugulia mashitaka upendayo wewe, napa ndio unapatikana udikiteta, ambao ni mmbaya kwako mwenyewe,
Kumbuka tunahitaji maendeleo, ni lazima yaambatane na Uhuru, demokrasia na haki.
Maendeleo bila Uhuru demokrasia na haki, ni bora yasiwepo, kwa kuwa vyote vinaweza vurugika tusipo elewana na bora fedha hizo tungenywea pombe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umma wa twitter,na fake ID's?pathetic
Kifupi unamaanisha serikali au dola inapofikia kiwango hicho inabaki imekalia kaa la moto ikiwa haijui ni lini umma utaifurumusha ghafla isijue la kufanya..... Ni jambo la muda tu dola zote zenye matendo ya hivyo hazijawahi kuwa na nguvu na hazidumu maana ni kama mwanamke mwoga tu au dhaifu hata mtoto akikosea yeye anamkemea na panga mkononi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kwenu mmeshindwa kuidai katiba iweke ukomo wa mwenyekiti, mnataka katiba ya JMT mtaweza??

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unafananisha state na chama. Huwezi kuwa serious. Nchi ipo.kabla ya hivyo mnavyoita vyama. Nchi ndiyo tunayojivvunia.na.sio vyama. Labda kama kwako chama kina.maana kuliko nchi.sawa.
 
What a shame to call yourself a tanzanian . What a disgrace ! .
Ndo maana wenye akili wamehama na kubadili uraia .
What a bunch of repugnant fleas to be near by with .
CCM na wafuasi wake ni takataka

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda hii nchi ukapate faraja,usituchoshe
IMG_20191202_202354.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom