Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Kupambana na dola bila mass support ,is the fucking decision ....
Na Taifa likikosa wakosoaji wakubwa linakuwa zembe na legelege... Shukuru wapo wanaojitoa na watavuna kama sio wao basi vizazi vyao alimradi wanaipigania haki kwa walioikosa. Usishangae unaowaona wababe wakaishia maisha ya mateso wao na vizazi vyao hakuna ubabe kwa Mola
 
Magufuli ni zimwi mwoga kuliko kunguru bora hata angekuwa na uwezo wa kupaisha nchi ki uchumi kila kitu zero hasara zake ana Pam ana na watoto wake eti militia apelekwe mahakama ni ndio tulisema apelekwe mahakama ni jape mahakama zinaendeshwa na magufuli
Ulichoandika hapa wewe mwenyewe sijui kama umeelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo sisi tunaishi kwa ujinga wa hao wananchi wa kawaida wa vijijini? Iko siku hutaamini macho yako.
Nyie wakina nani? Mnaomiliki smartphone?

Nimefanya ujumuishi kwa kua asilimia kubwa ya watanzania ni wananchi wa kawaida wakiishi vijijini ba muda huu wakiendelea na shuhuli zao za kubeba mabomba ya dawa nd

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi ,hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo mtakuja kusema ushahidi haujakamilika, sasa wakati mumemuweka rumande si ushahidi mnao, kabendera mwezi wa 8 kama sikosei ushahidi haujakamilika, kama mumemkamata ina maana ushahidi mnao, mfungeni, ukizingatia kule wamehojiwa mambo mengine kabisa huku wanasomewa ML, na kujihusisha na genge la uhalifu, hivi nchini tuna magenge ya uhalifu kweli, yatajeni basi kama vile yale ya akina palestina BLACK SEPTEMBER
 
Nyie wakina nani? Mnaomiliki smartphone?

Nimefanya ujumuishi kwa kua asilimia kubwa ya watanzania ni wananchi wa kawaida wakiishi vijijini ba muda huu wakiendelea na shuhuli zao za kubeba mabomba ya dawa nd

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata wakati wa wakaloni hao wananchi hawakuacha hizo kazi zao. Na mnachojivunia kwa hao watu wa vijijini sio kwakuwa wameridhika na hali, bali elimu duni ya uraia ndio mtaji wenu. Kwa taarifa yako wenye uelewa wa mambo sio lazima wawe wote, bali wale wachache huwa chachu ya hao wengi wasiojua ukweli wa mambo. Endelea kujivunia watu wenye uelewa mdogo, huku dunia ikizidi kubadilika, mtajikuta mkitawala kwa mabavu zaidi kwakuwa mtakuwa outdated mkitegemea mtaji wa watu wenye uhaba wa taarifa sahihi.
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi ,hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulilia sana MTU wetu apelekwe mahakamani ili wasiojulikana wasimpeleke kusikojulikana kama Azori na wengine au mwili wake ukaokotwa ufukweni. Mungu kasikia kilio sasa wasiojulikana wanajulikana wote na mtu wetu anajulikana alipo hats akae miaka kumi.
 
Mkuu you're stating the obvious.
Japo wapo ambao wata kushambulia kwa kuusema ukweli.
Watakuelewa wakati ukweli umesha waumiza kwa kuukataa hapo awali wakati muda wa kufanya uhamuzi sahihi ulikuwepo.
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi ,hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mnashindwa na kifo kinawabutua tu kila siku.angalia ya kuandika haishindwi kitu?shindeni kifo alafu uje uanaume haishindwi kitu
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi ,hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo la kijinga toka ujingani.
 
Wastage of sperm
 
..Alphonce Mawazo ameuawa.

..Aquilina Akwilini kauawa.

..kuna wanachama Morogoro na Dsm wameuawa.

..Yote hiyo ni katika harakati za ccm kulazimisha kuungwa mkono na heshima wasiyostahili.
Heshima IPI? Si walitaka huyo kijana apelekwe mahakamani?
 
Hivi unajua watu wengi wenye akili smart huwa hawako serikalini? Good lawyers wana firm zao,best doctors hakuna mshahara wa kulipwa na serikali,njia pekee ya serikali kudumu ni KUTENDA HAKI .
 
Dada yule kijana ana makosa gani mengine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa limesemwa utakatishaji pesa. Nakuambia ndugu yangu serikali ikitaka kukukomoa haishindwi. Kijana ndo kwanza kamaliza chuo mwaka jana. Namuonea huruma maana huku nje hakuna hata wanaoandamana kupinga kukamatwa kwao. Wasemaji wote tunasema nyuma ya screens.
 
Sis sote ni watanzania,,tupendane hata kama tunatofautiana kiitikadi,,mil 55 hatuwezi kuwa sawa wote ila wote tunaongozwa kwa sheria mama kwa maana ya katiba,,paoja na sheria ndogondogo,,hatupaswi kujengeana chuki bali tuvumiliane kwa kuelekezena vyema na kistarabu,,mtu asichoridhishwa nacho awe huru kukisema akifuata sheria zilizopo,,shida ni pale mtu ana jambo la msingi na la maana analiwasilisha bila utaratibu mzuri,,,viongozi wetu lia naamini ni wasikivu na wanajua wanaongoza watu wa tofautitofauti,,uvumilivu na kupokea ushauri hata kama unatoka kwa watu walio upande mwingine ni jambo busara, tuna platforms byibgi nzuri za kushauri mfano hapa jamvini,,tuna boards na association's nyingi tu professionals,,tutumie majukwaa haya kuwasilisha maoni yetu,,au kuonana na wahusika direct inapobidi,,au barua za wazi kabisa,,utu wetu na utanzania wetu ni zaidi ya itikadi zetu,,tuthaminiane watanzania....ajionaye ana nguvu ni kwa sababau mnyonge yupo,,amthamini mnyonge na atambue umuhimu wake...mnyonge nae aone fahari na uhuru wake kutoa maoni na mawazo yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole.

Back
Top Bottom