Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Kuna watu wanaongea utazani wao ndo Wana haki zaidi kuliko wengine katika nchi hii, toilet unaenda Kama wengine tuu harafu unajiona Bora kuliko wengine...

Tukumbuke hakuna kinacho dumu milele...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea utoto gani? Naona unajaribu kupandikiza uoga. Kama huna hoja sio lazima ianzishe uzi.

Unasema watu wakosoe kwa staha na maoni yao yatafanyiwa kazi.

Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi inadaiwa zaidi ya miaka 20 na bado hazijapatikana, je ni busara gani mnahitaji zaidi ya uvumilivu wote huo?
Acha kuanzisha uchochezi wewe....

Hiyo katiba mpya na tume huru ya uchaguzi zikisongwa tunapata UGALI?

Acheni ujinga watanzania wa kawaida vijijini hawajawahi kuhitaji huo ujinga wenu mnaoutaka mara demokrasia mara katiba mpya ni nyie wanaume wa Dar sijui mna mmerogwa na nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jambo ambalo hauna uwezo kulimaliza ni vema usilianzishe, labda ikibidi tena sana.
jambo la kuzingatia ni kujua mipaka yako na kuchakata athari ya kufanya jambo fulani au kutofanya.
panya atakunywa maji kumtosha tumbo lake, na tembo hivyo hivyo.

tusisahau kuwa kwa shujaa huenda kilio, na kwa muoga huenda kicheko.

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Kwa hiyo sisi tunaishi kwa ujinga wa hao wananchi wa kawaida wa vijijini? Iko siku hutaamini macho yako.
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi ,hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona serikali yenu ndo imekata pumzi
 
Nani kaumizwa? Si walitaka apelekwe mahakamani?

..Alphonce Mawazo ameuawa.

..Aquilina Akwilini kauawa.

..kuna wanachama Morogoro na Dsm wameuawa.

..Yote hiyo ni katika harakati za ccm kulazimisha kuungwa mkono na heshima wasiyostahili.
 
Umesomeka vyema
jambo ambalo hauna uwezo kulimaliza ni vema usilianzishe, labda ikibidi tena sana.
jambo la kuzingatia ni kujua mipaka yako na kuchakata athari ya kufanya jambo fulani au kutofanya.
panya atakunywa maji kumtosha tumbo lake, na tembo hivyo hivyo.

tusisahau kuwa kwa shujaa huenda kilio, na kwa muoga huenda kicheko.

Hasara Umfika Mwenye Mabezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je wajua Kwamba Hata walioko jela nao ni raia kama wewe? Kuwekwa Jela hakukuondolei hulka ya Kudai haki,

Labda wanyongwe
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi ,hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli ni zimwi mwoga kuliko kunguru bora hata angekuwa na uwezo wa kupaisha nchi ki uchumi kila kitu zero hasara zake ana Pam ana na watoto wake eti militia apelekwe mahakama ni ndio tulisema apelekwe mahakama ni jape mahakama zinaendeshwa na magufuli
 
Michadema mipuuzi sana reference zenu huwa Mawazo na wajinga wajinga wengine ambao mlimalizana wenyewe kwa wenyewe
..Alphonce Mawazo ameuawa.

..Aquilina Akwilini kauawa.

..kuna wanachama Morogoro na Dsm wameuawa.

..Yote hiyo ni katika harakati za ccm kulazimisha kuungwa mkono na heshima wasiyostahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi za Nyerere kulikuwa na ukosoaji hakukua na matusi
Nyerere na wenzake wangekuwa na mawazo kama haya Tanganyika ingechelewa kupata Uhuru.
Kila binadamu anahaki ya kuhoji na kutoa maoni kwa mjibu wa sheria.
Na ukikubali kuwa kiongozi kubali kukosolewa kwa namna moja ama nyingine, kwasababu huwezi kulidhisha kila laia.
Kukataa kukosolewa kuna dumaza mawazo ya vijana, maana wanakuwa na wasi wasi hata wakitaka kufanya vitu vya msingi na vya maana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michadema mipuuzi sana reference zenu huwa Mawazo na wajinga wajinga wengine ambao mlimalizana wenyewe kwa wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app

..hiyo haiondoi wajibu wa serikali na polisi kuchunguza, kukamata, na kushitaki.

..sasa jiulize kwanini hatua za kiuchunguzi na kisheria hazichukuliwi pale anapoumizwa mwana chadema?

..kwanini wanaoumiza wana chadema wanaonekana kulindwa na kutetewa kuliko walioumizwa?
 
Na ndio kinachofanyika
Tatizo ni pale 'wanaharakati' wanakuwa makada na makamanda vya vyama vya siasa. Jana nimeona tamko la kituo cha haki za binadamu kuhusu bwana Magoti limekaa kisiasa mwanzo mwisho. Serikali ina mkono mrefu na rais wa nchi ni taasisi, ukipambana na rais unapambana na taasisi, kuna watu wataamua juu yako bila maelekezo toka kwa rais mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom