acha kuongea ujingaNi rahisi sana kuongea nyuma ya screen. Leo hata pale Kisutu haukuwepo.
acha kuongea ujingaNi rahisi sana kuongea nyuma ya screen. Leo hata pale Kisutu haukuwepo.
Yaani ANKO na GENGE lake la WAHUNI kina BASHITE na MALAGA wanakamata watu wasio na hatia kisa kumtafuta Kigogo2014,Wamewateka watu karibia 15+ na kuwaweka on hold zaidi ya siku 3 wakidhani ndio Kigogo2014 lakini ,Kigogo2014 anazidi kupost tu Twitter 24/7 wakiona sio wao ndio wanawabambikia kesi ambazo hazina kichwa wala mguu.Utter Non Sense ,Serikali lazima idondoee Pua,Kesi za Kubumbabumba eti anamiliki computer app yenye lengo la kufanya uharifu,kujipatia 17m kwa kuuza hiyo app!! Kwanza tunaibadili hiyo kesi na kuwa ya Cyber Crime na sio uhujumu uchumi.
Rudia kusoma thread upya,nimekwambia hiyo sio excuse,jifunzeni adabu kwa wakubwa mtafanikiwa maishani mwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sadam na Gadafi na Omar Al Bashir walimu tosha. siku watayakumbuka maneno ya Mzee Kikwete ‘kujimwambafai’.mkimaliza mmoja tutazaliwa kumi
msitegemee kuwa mtatumaliza
hata saddam alitawala miaka 30 akiwaua na kuwafunga wapinzani ila hawakuisha had mwisho wake
The government should fear the people and not the people to fear the governmentThe gaverment should fear about the people and not the people should fear about the gaverment
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda AlbashirSadam na Gadafi na Omar Al Bashir walimu tosha. siku watayakumbuka maneno ya Mzee Kikwete ‘kujimwambafai’.
Tofauti yako na yeye ni kuwa yeye alifanya harakati zake kwa kutumia real ID.Tusiseme tunamuunga mkono huku sisi tunatumia fake ID. Kama kweli sisi tunachukizwa na udhalimu hebu tuungane majority wote tujitokeze kwa real ID's otherwise sisi ni wanafki tu.Hata yeye alikuwa anafanya HARAKATI zake nyuma ya Internet kwani aliandamana?
na kwanini serikali ione kuikosoa ni KUHUJUMU UCHUMI?
kukosoa ni kosa?ni tusi?
Kwanini wakasirike?
wao sio malaikaaa
Na kuwa na nguvu isiwe sababu YA KUWATESA WENZIO
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania,public tunaigopa serikali na ndo maana humu tunatumia fake ID's.The government should fear the people and not the people to fear the government
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mimi ni Mtanzania Mtanzania damu damu na siongonzwi na ideas za chama chochote cha siasa. Sema labda some of my ideas zaweza fanana na chama chochote. Some zipo against kabisa na hizo zilizomo kwenye vyama vya siasa.Mbona wewe ni mwaccm tena damudamu
kwa sababu public nyingi za kiafrica hurumika kwenye uchaguzi kama maboya tu. wenye mamlaka wanaamini mbinu haraku za wizi wa kura na dhulma zingine huwasaidia kuingia madarakani. that way wanapata namna ya ku create a state of fear among wananchi.Tanzania,public tunaigopa serikali na ndo maana humu tunatumia fake ID's.
Wewe ni wakala wa hawa wazalendo uchwara? Waunga mkono udhalimu.Jitokezeni physically. Tuache huu unafki wa kusema nyuma ya screen.
Kabla ya Utanzania kuna ubinadamu. Unaamini katika Utanzania.kabla ya Ubinadamu!?Hapana mimi ni Mtanzania Mtanzania damu damu na siongonzwi na ideas za chama chochote cha siasa. Sema labda some of my ideas zaweza fanana na chama chochote. Some zipo against kabisa na hizo zilizomo kwenye vyama vya siasa.
Wewe na nani mnazidi kuongezeka?Huko jela wanaweza kutuweka wote tukaenenea?????.... Kila wanapo jaribu kutunyamazisha ndipo tunazidi kuongezeka....
Sent using Jamii Forums mobile app
siwezi kukubali kuwa daraja hata siku moja.nitasimama kupigania haki yangu pale ninapoona chakula changu kinapokonywa.habari za kuropoka ropoka na kujidai mjuaji huku nikisifiwa na wanasiasa,yakinikuta na baki mimi na familia yangu kamwe siwezi kufanya.kabendera anateseka gerezani peke yake,familia yake inahangaika peke yao,wanasiasa waliokuwa wapo nyuma yake wapo mbali saizi.Mtaendelea Kuwa makondoo hivyo hivyo . Na ndio tatizo lenu watanzania . You guys are too goigoi with unbelievable inferiority ..
Mimi huwa nasema kama we mtu huna tabia ya kudefend haki zako basi hufai kuitwa binadamu . We ni the walking dead
Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu wajinga pekee ndio huwa na mawazo ya aina hii.
Tofauti yako na yeye ni kuwa yeye alifanya harakati zake kwa kutumia real ID.Tusiseme tunamuunga mkono huku sisi tunatumia fake ID. Kama kweli sisi tunachukizwa na udhalimu hebu tuungane majority wote tujitokeze kwa real ID's otherwise sisi ni wanafki tu.