Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Umetumwa.na slowslow?haya kadake buku saba yako
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada kama mama ako(mwanamke jasiri),angekua moga kama ulivo joga wewe nawaliokutuma,asingerudia kushika mimba nyingine ili akakusukume labour room... ...hebu acheni kusifia huu uchuro wadola iliyoshindwa.huna adabu mwehu wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajeshi ndio hao kina mnyika ,sugu,mbowe na lema wenye viriba tumbo ,mna mbinu gani nyie RAIA

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Wameomba maridhiano na watekaji. Mtu unapinga maovu unaanzia wapi kuomba maridhiano na muovu ? Yaani wapinzani wa CCM bwana. Hii nchi ukitaka kuishi kwa raha bora uwe hauna chama chochote cha siasa kama mimi.
 
Mtaendelea Kuwa makondoo hivyo hivyo . Na ndio tatizo lenu watanzania . You guys are too goigoi with unbelievable inferiority ..
Mimi huwa nasema kama we mtu huna tabia ya kudefend haki zako basi hufai kuitwa binadamu . We ni the walking dead

Sent using Jamii Forums mobile app

Walking dead anayejulikana ni yule kiongozi wa Labour Party kule Wingereza, kwa hapa kwetu lazima atakuwa kiongozi wa Chadema. Sasa unatoa maombi rasmi tutumie jina hilo au vipi?
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo dola sio ya urithi hata nyie mnaojivuna leo kwa kuwabambikia watu kesi subirini zamu yenu nayo itafika tumkosoe nani kwa staha? Huyu huyu jiwe wenu ambaye kila siku anawakejeli watanzania?
 
Watanzania wengi ni wazuri sana katika kukushangilia lakini ukiaanza kupata misukosuko huwezi kuwaona tena!

Kwa maana nyingine, watanzania wanaweza kukutumia kama kifurahisho/kiburudisho lakini ukipata misukosuko wanakuacha na kuhamia kwenye kiburudisho kingine!
Kama mnavyomshangilia jiwe sasa anapoharibu nchi kesho yakianza kumkuta mtamkimbia na kubaki peke yake eee
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
You must be nuts! Kubambikia watu kesi ndio mkono mrefu! Rubbish!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We are different, wewe kasugue hicho kitu chako waachie madume wafungwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Which difference ?Kama mwanaume njoo na ID real na uwe unacriticize?Wanaume walikuwa kina Voltaire tu. Alicriticize hadi akafanikiwa kuseparate dini na serikali kule France. Hebu kamsome Voltaire.
Ila kama ni kwa kutumia ma ID fake jua hatuna tofauti. Wote ni waoga tu.
 
Back
Top Bottom