Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

Hatimaye pumzi imekata, nilijua tu

siyo ujanja nanitabia mbaya sana,ila sisi vijana tunatakiwa kuwa makini sana na hii serikali tutakaa sana jela wakati familia zetu zikiteseka.ni bora kujifanya mjinga,muhimu liziki yako inapatikana kwa halali basi.
Propaganda za chekechea hizo. Usipotenda haki hutaweza kulazimisha kukubalika/kupendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niwe kusutu ni eneo langu la kazi? Kwani wakristo wote wanaomsifia Yesu, kesho ni lazima wote wawepo kanisani?
Njoo na real ID useme unayoyasema. Otherwise Tanzania bado sana. Mtu ukitoka ki front front na real ID jua upo alone. Utateseka wewe na familia yako. Wananzengo wengine tutaishia kubwabwaja kwenye net.
 
..hata wanaotuma watu kuwateka wanaokosoa ni waoga.

..kama wana uwezo kwanini wasikabiliane "mano-a-mano" na wapinzani wao badala yake wanawatumia magenge yenye silaha?
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utter Non Sense ,Serikali lazima idondoee Pua,Kesi za Kubumbabumba eti anamiliki computer app yenye lengo la kufanya uharifu,kujipatia 17m kwa kuuza hiyo app!! Kwanza tunaibadili hiyo kesi na kuwa ya Cyber Crime na sio uhujumu uchumi.
 
..hata wanaotuma watu kuwateka wanaokosoa ni waoga.

..kama wana uwezo kwanini wasikabiliane mano-a-mano na wapinzani wao badala yake wanawatumia magenge yenye silaha?
Ila mwisho wa siku wao wana jeshi. Nani mshindi hapa ? Tanzania bado sana. Hakuna aliye tayari kupigania nchi yake tête à tête.
 
Ila mwisho wa siku wao wana jeshi. Nani mshindi hapa ? Tanzania bado sana. Hakuna aliye tayari kupigania nchi yake tête à tête.

..JESHI ni la wote.

..siyo la kwao peke yao.

..wanatumia vibaya madaraka waliyopewa.

..wanaoteka wenzao, na waliowatuma kuteka, wanalipwa mshahara kwa kodi inayotokana na wanaotekwa, kuteswa, na kubambikiwa kesi za hovyo-hovyo.
 
Kabisa yaani. Yaani yakikukuta unahangaika kivyako. Hakuna alie nyuma yako. Wanakusupport nyuma ya internet.
Kila mtu atakuwa akilia kivyake kwa wakat wake. Ninachojua shetani hana rafiki.

Ananyonya damu yeyote kwa wakati wake.

Hata wanajiona sasa wako karibu na Kibwengo siku akiwageukia watajikuta wanahitaji msaada wa watu bila mafanikio.

Tuendelee kucheka. Ila tunakoelekea anajua Mungu tu.
 
Serikali au dola kwa ujumla ina mkono mrefu sana, na kwa muundo wake haijawahi kushindwa, huwa ni suala la muda tu.

Hivyo ni vyema unapotaka kuitunushia misuli lazima utafakari kwa kina sana, kwa maana ya madhara utakayoyapata wewe binafsi, familia yako na jamaa zako kwa ujumla.

Unaweza pata umaarufu wa muda mfupi lakini madhara yake ni ya muda mrefu.

Na kwa kawaida ukiona serikali ina deal na wewe ujue imejiridhisha kwa asilimia zote toka vyanzo vyake ya kua unaikosea.

Ni vigumu sana serikali kuonea raia wake wema, nasema haiwezekani. Nashauri wale mnaojiita wapambanaji dhidi ya dola mtafakari kwa kina sana kabla ya kutenda.

Mwisho kosoeni kwa staha mkiweka hadharani njia au mawazo mbadala, yatafanyiwa kazi hii ni imani yangu.

Kutusi, kudhihaki, kukejeli, kuonyesha dharau kwa mamlaka kwa kisingizio cha kukosoa haikubaliki hata kidogo, mtaumia kwani kila zama na kitabu chake, someni alama za nyakati.

Dua la kuku halimpati mwewe. Tulilia mpendwa wetu apelekwe mahakamani, ona sasa.

Tukutane tarehe 07/01/2020, safari ndio kwanza imeanza.

Narudia tena serikali haishindwi, ni suala la muda tu, ukiona mwenzako ananyolewa tia maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kesi ambazo ushaidi huukamiliki ni uonevu tu
 
Makaburu walikuwa na maguvu na walitisha kuliko nyie.Hata Baadhi ya familia ya Nelson Mandela waliyokuwa waoga waligwaya na kumruka mchana kweupe. Kwa vile walikuwa wa shetani mwisho wao pamoja na misuli yao walifika mwisho. Vitisho vyao havikuweza kulazimisha kupendwa isipokuwa unafiki kama wako mtoa mada. Hamtafanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daini Uhuru wa Kilimanjaro maana mlishataka kujitenga zamani

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom