Suhendra
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 1,858
- 3,668
Kwahiyo Leo ndio kakwambia anakupenda 😄Kwakweli,, yaani leo full kutabasamu☺️☺️
Kwahiyo Leo ndio kakwambia anakupenda 😄Kwakweli,, yaani leo full kutabasamu☺️☺️
Hahahahahaha kwann wana haribu sasaUtapata uwe unasocialize na watu mie sipo na nipo yaani huku ukitaja up na mtu wanaharibu
😂 jirani umeenda chachi kweli?😂😂😂😂 Uongo yupo humu, mpk umelileta hapa basi mlengwa tunaye na ujumbe wake kauona..!!
Sisi umbea tumesomea usitudanganye..!!
Wewe mtaje siku akizingua tukusaidie kumkausha damu
😂😂😂😂 Umekuwa adimu sana sikuoni.Nipo nipo . Nipo gado kabisaa
Aaaahhh wee mi kurogwa nilishakataa.
Ukiona siku nimefanya hicho kitu, naomba mnikamate mnifunge kamba niwahishwe kwa mganga , lazima nitakuwa nimechanganyikiwa.
Naomba nisiulizwe,sawa? Yan mnikamate kwa nguvu 😂😂
😂😂😂😂 Ipo siku vikiumana tutajua, uzuri wambea hatusahau jiraniiSerious hana account humu😂😂😂🙌
😂😂😂😂 Jirani chachi nakosaje??😂 jirani umeenda chachi kweli?
Tomsefo Yesu kristu jirani😂😂😂😂 Jirani chachi nakosaje??
Hapa nimerudi nakunywa chai
🤠🤠🤠🤠 shweeendraaa mwenyeweShindwaaaa pepo😂😂😂😂😂🙌
Hapa hata Leejay49 atanisaidia kwamba wewe ndio umekua adimu kwenye chocho za majukwaa yote, huonekan onekani kabisaa😂😂😂😂 Umekuwa adimu sana sikuoni.
Milele amina 🙏Tomsefo Yesu kristu jirani
Tumaini letu jirani 🙏Milele amina 🙏
Kristu?
Umeonekana leo na ghafla unatafuta ukorofi na masai wa watuKweli?? Basi nitajitahidi niwepo 😂😂