Huyu anauguza majeraha itakua kashachezea chaga za mbavu hukoo, mtoto wa mama mkwe wake kamuachia manyoya 😂😂😂Serious Lamomy Unakuwaga wapi jirani 🤒
😂😂😂😂 Mi nakukumbusha tuUmeonekana leo na ghafla unatafuta ukorofi na masai wa watu
Huwa tamu sanaJamani wewe 😃😂
😂😂😂😂 Muda ukifika utasema kwani tuna haraka basiiiNaomba isitokee.. Na ingekua yupo huu saizi ningekua napumulia mashine walahi maana sio kwa comments hizi😂😂😃🙌
😂😂😂😂 Kaniachia manyoya kweli hapa natafuta pa kujichomeka haina kushangaaHuyu anauguza majeraha itakua kashachezea chaga za mbavu hukoo, mtoto wa mama mkwe wake kamuachia manyoya 😂😂😂
Huyo Ivan anabet tu hakuna lolote analolijua 😂😂😂Na alivyo na hekaheka sana😂😂.. Nilishammisi
Usisahau kunishtua muda ukifika 😂😂😂Kwakweli,, time will tell us😂
Hii week nilikuwa na kelele sana sema hukujua tu 😂😂😂😂Tulimisi kelele zako kama hivi mda wote kicheko 😂😂
Sawa mkuu naomba kwenye uzi wa kilio usikose kunitagHahaha.. Wacha nikutandikie jamvi na godoro kabisa nikupe ulale

😂😂Sasa nianze kuwazia mtu anaetaka kuchapisha uzi, kweli?
Atazipata baada ya chuma kwenda kwa hewa😂 wacha niuze kilo moja ya dhahabu kwanza
Na ya nini uhangaike mwenyewe kujichomeka wakat niko hapa naweza kukuchomeka .😂😂😂😂😂 Kaniachia manyoya kweli hapa natafuta pa kujichomeka haina kushangaa
Tunasonga mbele km injili
Kwa Sasa sitaki nishauriwe🤓, single for life.Nilimwambia asile ye alikula akavimba akaja dushelele by alikiba Cc Intelligent businessman polee sana kaka 😂😂😂😁