Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Kama ni hivyo njema, ubarikiwe sana rafiki.Hahahahahaha..mie naenda kusali na kufuata neno..siko huko Rafiki..hayo mambo siyawezi
Kwanini huyawezi, au ushapigwa na kitu kizito?
Kama ni hivyo njema, ubarikiwe sana rafiki.Hahahahahaha..mie naenda kusali na kufuata neno..siko huko Rafiki..hayo mambo siyawezi
Sema maana umetulizwa sanaRafiki huu uzi unamhusu Leejay ujue😄
kuna tatizo katika hilo bwana mvunja barafu..??Ila mleta mada anasema jamaa yake bado hajaitafuna!
Hahahahaha mie humu atanikichagua hkn wakukubali hivyo kwa humu aitakua ngumuMie nasubiri utangaze nia yupi umemchagua
Nilikua nasubiri utie neno hapa Sister.
Why jamaniHahahahaha mie humu atanikichagua hkn wakukubali hivyo kwa humu aitakua ngumu
Hahahahaha ahsante...sinaga kabisa bahati na hayo mambo RafikiKama ni hivyo njema, ubarikiwe sana rafiki.
Kwanini huyawezi, au ushapigwa na kitu kizito?
Umbeya umbeya tu na mwaka huu single ni wewe🤓Nimesoma comments zooote hadi hapa...😊
HahahahahahahaWhy jamani
Mchawi hapo ni "vina mida basi?"Naunga mkono hoja 🤣😂🤣🤣🤣😂
Kwangu inaweza ikawa hakuna tatizo ila kwa shemeji yetu inaweza ikawa ni tatizo.kuna tatizo katika hilo bwana mvunja barafu..??
Mi naona huna baya mbonaHahahahahahaha
Hahahahahaha..ni kweli sina bayaMi naona huna baya mbona
tatizo linatoka wapi..? Nadhani ni makubaliano tu.. let them enjoy bhaana..!!Kwangu inaweza ikawa hakuna tatizo ila kwa shemeji yetu inaweza ikawa ni tatizo.
HahaaSema maana umetulizwa sana
Wee muongo hutaki tukutongoze lakini tutaendelea kukufata kinoma.Good morning ma lovers
Moja kati ya vitu ambavyo tunatakiwa kuepukana navyo na kupambana navyo kwa namna yoyote ile ni pamoja na upweke… and finally i Leejay49 nimelishinda hili maana haikua rahisi being single for almost two years, na nilishagive up kwamba hakuna mapenzi ya kweli due to senarios zilizojirudia kwa ambao nilidhani wangekua wapenzi wangu..( Uongo na maisha ya kuigiza) vilinitoa kwenye reli kabisa…
Sikua na option nyingine zaidi ya kukubali kua i will be single forever🥹🥹, kutafuta sana hela kwa nguvu na akili zangu zote, but still haikusaidia maana i used to spend alot of it nikidhani i will find peace of heart na sikuwahi kuipata.. Ikafika hatua nikawa namuogopa kila mtu atakayeniface na kushow interest ya kua na mimi.. Haikua rahisi🙌🙌
But guys tusiache kumuomba Mungu, yaani kama unaweza kufunga hata tatu kavu just do it, inasaidia sana.. Lilikua ni miongoni mwa maombi yangu ya mwisho kabisa , yaani kuomba kwajili ya mwanaume wa ndoto zangu ilikua ni maombi extra baada ya kuombea kila kitu😃.. Lakini gues what limetimia kabla ya wakati
I do love this man na siwezi ficha, amenibadilisha kila kitu ikiwemo mtazamo wangu kwa hawa viumbe wa kuitwa Men.. He is not perfect kama mimi ambavyo siko perfect but we can make it na tutafika mbali( Mungu wangu ninayemwamini hajawahi kuniacha na hata kwenye hili pia naamini hataniacha)
Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikua ni stress tu🙏🙏 anayependwa kapatikana( Na hili halihitaji maelezo)… Am in Love🥰🥰❤️
Muwe na jumapili iliyo njema
Wapo ila ni wa kuwasaka sana mkuu