Anajua utani tutaupeleka mapk upenzini uko sitaki tn😄Leejay49 unaitwa huku
Endeleeni kujidangaya kimya kimya mnalia maumivu mkija huku jukwaani mnasema biyurfulPole sana😂😂
Ila komaa usikate tamaa, kweli kabisa love iz a biurifoooo thing🥰🥰
Nilisahau Wacha nihamie TTCLAnajisahaulisha
😂😂Atazipata baada ya chuma kwenda kwa hewa😂 wacha niuze kilo moja ya dhahabu kwanza
Penzini gani na mwenzako kashawahiwa anakula mema ya nchi saivi😂😂Anajua utani tutaupeleka mapk upenzini uko sitaki tn😄
Nacheka kifala Leo🤣🤣🤣🤣Endeleeni kujidangaya kimya kimya mnalia maumivu mkija huku jukwaani mnasema biyurful
Yani today "my on will go heart" ngoja nikanywe maji kwanza labda nitapata a relief kidogo.... KHEEE! 😭Ooh nohh😥😂.. Hukusema sasa ningejuaje 😃
aaaaaaw'..!!😍😍Nilikua nataka kumuwekea bango kubwaaa kwenye geti la kuingilia Magufuli stand, Ni vile tu maokoto yalikosekana.
Kwenye notebook nimeshaweka X kwenye jina lako bado naendelea kuwachuja hapa nasaka Cc ya 2030+Jamani wewe😂😂😂😂🙌
Bado mpango upo, nafanya savings.aaaaaaw'..!!😍😍
Na sahii..??
Jomba yale maumivu acha bora kutahiriwa mara ya pili aiseee ikifika saa saba usiku usingizi unavapour nakua kama naumwa hv lkn siumwi🤣🤣🤣🤣🤣😄🤣🤣🤣🤣🤣Wacha nicheke penzi la kungwi umelipoteza
Nakazia hoja mwendo wa uwabata tuNdo utafute na wewe sasa😂😂.. usiishie tu kutuchuja
How can I join you, stop this please 😭😭😭Yeah for real, but ukizidiwa just join us,. We have fun 🤗🤗
Tulia! tunaenda taratibu nasema nikimpata mtahama humuNdo utafute na wewe sasa😂😂.. usiishie tu kutuchuja
Halafu ukishaipitia hiyo hatua ikaisha unakua huogopi tena kitu😂😂.. Sema tu kuna kahofu flaniJomba yale maumivu acha bora kutahiriwa mara ya pili aiseee ikifika saa saba usiku usingizi unavapour nakua kama naumwa hv lkn siumwi
Ndio maana nilisema hujawahi kupenda weweEndeleeni kujidangaya kimya kimya mnalia maumivu mkija huku jukwaani mnasema biyurful