Hatimaye nimempata!

Hatimaye nimempata!

kuwa makini tu there's no why wala when and how,nakutakia mapenzi mema asikudanganye mtu nimeandika hiyo komenti ni joke tu ila mapenzi ni raha sana have a good time with your nyamnyam,kama umelipata penzi litumie haswa kama unaweza kumpa raha mpe haswa!.
hiyo ndio pepo yetu hakuna pepo nyengine.. ila tu tumia akili.
Yeah, thank you 💕😘
 
Zingatia tu hapo nataka kuibwa na wewe...
Si huwa tunaiba vyenye value au🤷🤷🤷
Sasa wewe umeshindikina akuibe nani? Hadi binti yangu kakukimbia. Yule tu ndio alikuweza.
 
Akishaiona tu ndio safar inaanzia hapo, maana tayar kwenye nindset yake anazo sample kadhaa za utamu so akichomeka anakua ana compare na ku contrast
  • hii tamu kama ile?
  • hii mnato kama ile??
  • mbona huyu hawez kufinyia ndani?
  • hii ina joto kama ile/zile?
  • hii imetuna tuna ina mvuto kama ile?
  • style hizi mbona za kilokole lokole?

Huyooooo..mbio!!
Hahaha😂😂😂
 
Hongeraaa kwa kupata hitajio la moyo wako.

Nawaombea mapenzi yenu yafike mbali sana

Ila kama itakupendeza

KATAA NDOA.

Utani shukuru one day.

Uzuri wa jamiiforums
Mambo yakiwa good watu wanatuletea shuhuda na wakipigwa na vitu vizito, shuhuda vilevile zinakuwepo.

Goodluck Leejay49
Asante sana mkuu KJ07 😂🙏
 
Back
Top Bottom