Hatimaye nimempata!

Hatimaye nimempata!

Kikiisha ndo unaanza kumuona mwenzio ana matege🤣🤣🤣, mara ananuka mdomo....afu unakumbuka sub zako🤣🤣🤣 unaanza kuzitumia ishara zianze kupasha🤸🏿‍♀️
Akili zikianza kurudi sasa ndio hivyo tena 😂😂😂 unaona dah! Sijui nilifeli wapi kumpa kipapa huyu mchimbachumvi😂
 
Una maanisha jamaa anaweza asiipende ladha ya ile kitu sio?

😀 😀
Kuna ile mmeambiana mengi mmesifiana plus expectations za hapa na pale mnakutana six kwa sita picha linaanza mkivua katika mia zinabaki 90 sema Kwa sababu ya genye unakaza, mdo mdo maandalizi mbwembwe zinapungua dend@ tu hadi meno yanacollide🤣 unaamua mambo yasiwe mengi unamuweka standby upige ohooo mikao haieleweki.....baada ya bao la kwanza score board inasoma 30%
 
Ahaaaa....! Ni yule aliekushushia Uzi mrefu hapo juzi kati?. Kama ni yule mara hii umemuelewa sababu porojo za Adam kweli?. Sawa lakini kila la kheri. Uwe makini pia maana kama anajua mpaka kukuweka sawa kwa mawazo yako huyo mzoefu. Kama anataka kukupigia tukio hivi halafu asepe (No. just joking). Ila kama ana familia hivi?(hapana nakutania tu). Mpe tu
Sio huyo mkuu,, walau hayuko jf mkuu.. Anyways thanks 🥰🙏
 
Back
Top Bottom