Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,140
- 190,557
Hakuna mtu atakuwa single for 2 years bila kugongana hapa jijini labda kama anajifungia ndani tu haendi maeneo yenye mzunguko wa mabaharia.Kiuhalisia au kinadharia!

Ahahah.Hahahahahaha muhimu aje pia humu kutuambia ili tumshauri
kuwa makini tu there's no why wala when and how,nakutakia mapenzi mema asikudanganye mtu nimeandika hiyo komenti ni joke tu ila mapenzi ni raha sana have a good time with your nyamnyam,kama umelipata penzi litumie haswa kama unaweza kumpa raha mpe haswa!.😂😂😂 but why?
Naomba ukiachika uje pia utuambie🤣🤣Hujai acha kukazia muone😃
Wao ndio wanahangaika..Ahahah.
Sie tuna baya basi? Full time tumeshajiandaa na package za ushauri na nasaha kede kede
Hongera sanaGood morning ma lovers
Moja kati ya vitu ambavyo tunatakiwa kuepukana navyo na kupambana navyo kwa namna yoyote ile ni pamoja na upweke… and finally i Leejay49 nimelishinda hili maana haikua rahisi being single for almost two years, na nilishagive up kwamba hakuna mapenzi ya kweli due to senarios zilizojirudia kwa ambao nilidhani wangekua wapenzi wangu..( Uongo na maisha ya kuigiza) vilinitoa kwenye reli kabisa…
Sikua na option nyingine zaidi ya kukubali kua i will be single forever🥹🥹, kutafuta sana hela kwa nguvu na akili zangu zote, but still haikusaidia maana i used to spend alot of it nikidhani i will find peace of heart na sikuwahi kuipata.. Ikafika hatua nikawa namuogopa kila mtu atakayeniface na kushow interest ya kua na mimi.. Haikua rahisi🙌🙌
But guys tusiache kumuomba Mungu, yaani kama unaweza kufunga hata tatu kavu just do it, inasaidia sana.. Lilikua ni miongoni mwa maombi yangu ya mwisho kabisa , yaani kuomba kwajili ya mwanaume wa ndoto zangu ilikua ni maombi extra baada ya kuombea kila kitu😃.. Lakini gues what limetimia kabla ya wakati
I do love this man na siwezi ficha, amenibadilisha kila kitu ikiwemo mtazamo wangu kwa hawa viumbe wa kuitwa Men.. He is not perfect kama mimi ambavyo siko perfect but we can make it na tutafika mbali( Mungu wangu ninayemwamini hajawahi kuniacha na hata kwenye hili pia naamini hataniacha)
Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikua ni stress tu🙏🙏 anayependwa kapatikana( Na hili halihitaji maelezo)… Am in Love🥰🥰❤️
Muwe na jumapili iliyo njema
Hahahahahaha itasaidia sana sie wengine kujifunza zaidiNaomba ukiachika uje pia utuambie🤣🤣
Ndio ndioHahahahahaha itasaidia sana sie wengine kujifunza zaidi
Unaonekana unapenda sana chini watu tumekaa miaka 3 bila bila we unazungumzia miwili.Hakuna mtu atakuwa single for 2 years bila kugongana hapa jijini labda kama anajifungia ndani tu haendi maeneo yenye mzunguko wa mabaharia.
Kuna mmoja nasubiri nae uzi wake ..na wewe Rafiki ni lini utatoa ushuhuda wa mwenza wako ?Ndio ndio
Akishaiona tu ndio safar inaanzia hapo, maana tayar kwenye nindset yake anazo sample kadhaa za utamu so akichomeka anakua ana compare na ku contrastBado hajaiona mkuu😂
HahahahahahaUnaonekana unapenda sana chini watu tumekaa miaka 3 bila bila we unazungumzia miwili.
Mashallah MashallahGood morning ma lovers
Moja kati ya vitu ambavyo tunatakiwa kuepukana navyo na kupambana navyo kwa namna yoyote ile ni pamoja na upweke… and finally i Leejay49 nimelishinda hili maana haikua rahisi being single for almost two years, na nilishagive up kwamba hakuna mapenzi ya kweli due to senarios zilizojirudia kwa ambao nilidhani wangekua wapenzi wangu..( Uongo na maisha ya kuigiza) vilinitoa kwenye reli kabisa…
Sikua na option nyingine zaidi ya kukubali kua i will be single forever🥹🥹, kutafuta sana hela kwa nguvu na akili zangu zote, but still haikusaidia maana i used to spend alot of it nikidhani i will find peace of heart na sikuwahi kuipata.. Ikafika hatua nikawa namuogopa kila mtu atakayeniface na kushow interest ya kua na mimi.. Haikua rahisi🙌🙌
But guys tusiache kumuomba Mungu, yaani kama unaweza kufunga hata tatu kavu just do it, inasaidia sana.. Lilikua ni miongoni mwa maombi yangu ya mwisho kabisa , yaani kuomba kwajili ya mwanaume wa ndoto zangu ilikua ni maombi extra baada ya kuombea kila kitu😃.. Lakini gues what limetimia kabla ya wakati
I do love this man na siwezi ficha, amenibadilisha kila kitu ikiwemo mtazamo wangu kwa hawa viumbe wa kuitwa Men.. He is not perfect kama mimi ambavyo siko perfect but we can make it na tutafika mbali( Mungu wangu ninayemwamini hajawahi kuniacha na hata kwenye hili pia naamini hataniacha)
Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikua ni stress tu🙏🙏 anayependwa kapatikana( Na hili halihitaji maelezo)… Am in Love🥰🥰❤️
Muwe na jumapili iliyo njema
Nani huyo, mtaje aje aweke uzi.Kuna mmoja nasubiri nae uzi wake ..na wewe Rafiki ni lini utatoa ushuhuda wa mwenza wako ?
Hahahahaha atakuja kuleta uzi maana kaahidi ...Nani huyo, mtaje aje aweke uzi.
Hahaa me tayari nilishampata kitambo, angekua huku ningemtag hapa umuone.

Hahahahaha hujampa bado ? Mie nilijua imeamkia ndani kwenye joto jotoBado hajaiona mkuu😂