🤣🤣🤣🤣 Kweli halua haina makombo🤣Halua haina makombo kwanini tususe? kukata tamaa ni mwiko.
Wanaume wote peponi🤣
🤣🤣🤣🤣 Kweli halua haina makombo🤣Halua haina makombo kwanini tususe? kukata tamaa ni mwiko.
Nimemaanisha mapenzi bila kulana ni sawa na window shopping tu.Sijakuelewa mkuu😁😁
🤣🤣🤣🙌🏿Nimemaanisha mapenzi bila kulana ni sawa na window shopping tu.
Chriss Mauki anasema "Heri mahusiano yenye mgogoro kuliko kuwa single"Mimi nikajua tupo single and happy kumbe wenzetu mnakulana!!!
Niambie bazazi.Hahah ushakuja...
Kwakuwa yake yana mgogoro eeh!! Sasa yana uheri gani hayo🙆Chriss Mauki anasema "Heri mahusiano yenye mgogoro kuliko kuwa single"
Hamna single and happy, hiyo ni uongo🤣🤣🤣
Niambie bazazi.
Ok ila kipindi hicho nilikuwa sina mtu nikaamua nikitulize kwa mda mrefu.Nimemaanisha mapenzi bila kulana ni sawa na window shopping tu.
Now yupo kwenye mabibo na korosho huko kwao nanjilinjiAmekoma hataki hata kusikia mamaziii za JF😁
Hebu orodhesha nilivyokuibia!!Nakusalimu tu mkwe jambazi ulivyoniibia vinatosha, ila nipo tayari uniibe na mimi 😊
Hujapitia magumu wewe....kuna muda usingle ni raha sanaChriss Mauki anasema "Heri mahusiano yenye mgogoro kuliko kuwa single"
Hamna single and happy, hiyo ni uongo🤣🤣🤣
Nyie sio watu wazuri jana mlimtania nadhani alipata usingizi usiku mno kwa sasa yuko hoi😁😁Now yupo kwenye mabibo na korosho huko kwao nanjilinji
Ndio unadanganya watu upo single eenh, ili watembelee PM yako sio!!Mimi nikajua tupo single and happy kumbe wenzetu mnakulana!!!
Babe love, good morning!Ndio unadanganya watu upo single eenh, ili watembelee PM yako sio!!