Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Nina hamu tu ya kumcheka hiyo jamaa yako😂😂Huyo ni chinga ni ndugu yangu pia sasa sijui unanichongea ili iweje
Nina hamu tu ya kumcheka hiyo jamaa yako😂😂Huyo ni chinga ni ndugu yangu pia sasa sijui unanichongea ili iweje
Hahahahahaha na baada ya tabasamu zito wameongozana kanisani..hivyo kampata wa uhakika ..kumbe...😂😂😂
Mwenyewe nilihisi hivyo kwamba hii asubuhi watu wameamka na tabasamu zito.
Em ngoja tuendelee kusikiliza hapa
Usimcheke tumuombee kwa mungu maana now anapitia majanga sana skuizi hakuna mahaba by alikiba 🤣Nina hamu tu ya kumcheka hiyo jamaa yako😂😂
Hahahahahaha..humu kaa ukijua kuna majini tena majini makata yaleMwamba aliandika na kuchora verse za mahaba mwishoni yakaishia akhera 😂🤣😁
Naunga mkono hoja 🤣 kakaHahahahahaha..humu kaa ukijua kuna majini tena majini makata yale
Hata mimi huwa najiuliza, 2yrs kinaoshwa tu hakuna wa kukichapa kweli?🤣🤣🤣Means that Miaka mi2 yote ulikuwa hupati hata wa kuzugia?😳
Mbona akhera daah🤣🤣🤣Mwamba aliandika na kuchora verse za mahaba mwishoni yakaishia akhera 😂🤣😁
Hahahaha . Chukua hiyoNaunga mkono hoja 🤣 kaka
Kumbe na cha kuzugiq ? Ndio maana ....sasa naelewaMeans that Miaka mi2 yote ulikuwa hupati hata wa kuzugia?😳
Hahahahaha niko kusubiri jibu hili,nikipitwa ni tag Rafiki
Very true,Kila mtu ana wakwake ni suala la muda tu ... Hongera
Usijali, updates nitakupatia.Hahahahaha niko kusubiri jibu hili,nikipitwa ni tag Rafiki
Na Iko siku utampaWanaume hamjawahi kuchoka kukaa sub, imagine kuna mkaka ananitongoza toka 2019Anasubiri ndoa iyumbe nikampe vya hasira
Kwenye hili nawaaminia![]()


Nitashukuru sana Rafiki , hivi shem wetu ni Memba humu au ni wa nje ya humuUsijali, updates nitakupatia.
😂😁🤣🤣😁😁 Mapenzi yalikuwa ya mkatabaMbona akhera daah🤣🤣🤣
HongeraGood morning ma lovers
Moja kati ya vitu ambavyo tunatakiwa kuepukana navyo na kupambana navyo kwa namna yoyote ile ni pamoja na upweke… and finally i Leejay49 nimelishinda hili maana haikua rahisi being single for almost two years, na nilishagive up kwamba hakuna mapenzi ya kweli due to senarios zilizojirudia kwa ambao nilidhani wangekua wapenzi wangu..( Uongo na maisha ya kuigiza) vilinitoa kwenye reli kabisa…
Sikua na option nyingine zaidi ya kukubali kua i will be single forever🥹🥹, kutafuta sana hela kwa nguvu na akili zangu zote, but still haikusaidia maana i used to spend alot of it nikidhani i will find peace of heart na sikuwahi kuipata.. Ikafika hatua nikawa namuogopa kila mtu atakayeniface na kushow interest ya kua na mimi.. Haikua rahisi🙌🙌
But guys tusiache kumuomba Mungu, yaani kama unaweza kufunga hata tatu kavu just do it, inasaidia sana.. Lilikua ni miongoni mwa maombi yangu ya mwisho kabisa , yaani kuomba kwajili ya mwanaume wa ndoto zangu ilikua ni maombi extra baada ya kuombea kila kitu😃.. Lakini gues what limetimia kabla ya wakati
I do love this man na siwezi ficha, amenibadilisha kila kitu ikiwemo mtazamo wangu kwa hawa viumbe wa kuitwa Men.. He is not perfect kama mimi ambavyo siko perfect but we can make it na tutafika mbali( Mungu wangu ninayemwamini hajawahi kuniacha na hata kwenye hili pia naamini hataniacha)
Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikua ni stress tu🙏🙏 anayependwa kapatikana( Na hili halihitaji maelezo)… Am in Love🥰🥰❤️
Muwe na jumapili iliyo njema
Rafiki huu uzi unamhusu Leejay ujue😄Nitashukuru sana Rafiki , hivi shem wetu ni Memba humu au ni wa nje ya humu