Hatimaye nimefanikiwa kuacha punyeto

Hatimaye nimefanikiwa kuacha punyeto

Dawa yakuacha punyeto nikutomba mara kwamara hakika utaacha kwani chanzo ya punyeto ninini? domo zege uwoga kutojiamini kote kunapelekea kupiga punyeto lakini ukipata wanawake mara kwamara utaacha
 
Ukipata demu kama ulikuwa mpiga puchu,raha yakugegedana na demu ni ndogo sana..kuna mtu acha exprience hii kitu?
 
ko ww unatak ukitelekez chama sio,acha utan kijan huwez kuwaach wenzako hiv hiv kule chputa bado inakuhitaj mana mchango wako ni mkubwa xan na pengo lako halitazibika mkuu rudi tafadhli
Huko mimi sirudi tena.
 
mi mara mwisho kupiga punyeto ilikuwa juzi...sijui niache?..ngoja nipige leo kwa mara mwisho kabisa...
Hivi inakuwaje unafikia kupiga nyeto wakati machangudoa wamejazana kila kona ya nchi yetu?
 
Inabidi ujitolee kweli kweli hapo ushapoteza vingi Sana...!! Low testosterone(hormoni ya kuleta hamu ya tendo kwa mwanaume) adrenal fatigue (tezi lako la adrenal limechoka hivyo halitengenezi tena hormones kwa ufasaha), back pain (mgongo kuuma), poor erection (ukidinda ngoma haisimami Kama msumari inasimama kwa ulege ulege na inalala kwa haraka), poor memory (tatizo la kumbukumbu kwa sababu umeunguza kemikali nyingi Sana za taarifa ubongoni kwenye kujitomba mwenyewe, aceytochloline na dopamine)
Unajua sex is natural but nyeto isnt, nyeto pale unauumiza Sana ubongo kuassume kitu ambacho hakipo.. Laiti ungelijua ulichokifanyia mwili wako ungeacha immediately
Afadhali mkuu uwape ushauri hawa ndugu zetu maana wanauchezea mwili leo ila kesho watalia maana watashindwa kumtimizia mke
 
Hii ni wiki yaa pili sasa tangu nimeacha huu mchezo wa CHAPUTA ingawa sio kazi lahisi sana lakini ninajikaza sana,ninafanya mazoezi,ninakuwa busy,pia nimeacha kabisa kumuangalia Mia khalifa, Cherokee Nina Rotti nk...najua members wa CHAPUTA mnawajua hao ni wasanii wakubwa sana katika tasnia yetu.
Bye bye CHAPUTA.

Update.
Hatimaye nimemaliza mwezi mmoja l bila nyeto japokuwa sio kazi rahisi.
Asanteni wote kwa ushauri wenu.
Umepumzika tuu maliza mwaka tuamini.
 
Hivi kumbe inakuwaga Kama Arosto ee..hongera pia

Super women 2 unauliza RANGI YA MKAA AU,
Mwenzio hapa siku zilinpanda ghafla nikazama bafuni bila hata yakujali nikapigia WhiteDent,
Nliposhusha saaasa weeeh brek yakwanza kwenda kubunuka sarakac chini ya Panga Boi
Lkn sijakoma hadi saa hii nimeshusha kimoko ndio nikazama Jf
 
Super women 2 unauliza RANGI YA MKAA AU,
Mwenzio hapa siku zilinpanda ghafla nikazama bafuni bila hata yakujali nikapigia WhiteDent,
Nliposhusha saaasa weeeh brek yakwanza kwenda kubunuka sarakac chini ya Panga Boi
Lkn sijakoma hadi saa hii nimeshusha kimoko ndio nikazama Jf
Dah,una hali mbaya sana kijana mpaka whitedent!!!
 
Back
Top Bottom