Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

Uchangiaji wako wa mwanzo ulikua biased na wa kishabiki mpaka nikajua wewe ni mfuasi wa gwajima. Hapa naona umechangia kwa busara kidogo. Kudos!
Mimi Siwezi kununuliwa nachangia ili kuwashangaa watu wanao Simama upande mmoja !!
Mimi nashangaa uzi huu watu wanalaumu upande ummja wakati kuna pande mbili zenye makosa hapo mwanzo nilikuwa napambana na kundi la kwanza baada ya hapo nina kaa katikati kama umegundua hivyo huu ndo msimamo wangu !!
 
acha kubisha kijinga wewe. Wewe jina esther umelisikia kwenye ile clip. Na kwenye clip esther alikua anahadithiwa kilichotokea.

mi namjua personally au unataka nipost picha yake hapa .. we jamaa unajielewa
 
mi namjua personally au unataka nipost picha yake hapa .. we jamaa unajielewa
Weka picha yake tuone maana uzi wa wiki iliyopita walitudanya wakaweka picha ya Angel Dushima na baadaye wakadharirika!
 
sasa mbasha ndiye aliyekuwa anashikilia account ya Flora ambayo hadi anasepa ilikuwa na 50 mil. (Flora amesema) unategemea Flora atoe wapi hiyo hela ya dhamana....

Hicho sio kisingizio....
 
Mdakuzi ww ndio kilaza...anaitwa Esther aisee

Una sifa zote za kuwa kijana wa kiume unayepumuliwa kisogoni na wenye ndevu. Anayedaiwa kubakwa ni Yerusalemu, kamuulize mume mwenza wa Mbasha ambaye wewe unamuita mchungaji wako, atakuambia ni Yerusalemu.
Ova
 
Ndo mjue mbinguni kufka kgumu sna..Gwajima ni kiongoz wa kanisa ameamua kuyapka na ya yakapkika ili ajilie utamu bla bugudha
 
daa
kama movie vile.. inasikitisha sana.

ukweli wa jambo hili wanaujua Flora na Mumewe.
 

Safi Sana kama ana uwezo wa kuishawishi mahakama atatoka tu lakini kama ni haki kutendeka sidhani.
 
MSANII Emmanuel Mbasha (32) ni mume wa
Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha amefikishwa katika Mahakama ya
Wilaya ya Ilala akikabiliwa na mashitaka
mawili ikiwemo ya ubakaji.
Mshtakiwa huyo ambaye ni mfanyabiashara
na mwimbaji alisomewa mashitaka yake
mbele ya Hakimu Mkazi Wilberforce Luago.
Wakili wa Serikali Nassoro Katuga alidai
kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo
mawili maeneo ya Tabata Kimanga, jijini Dar
es Salaam.
Katuga alidai katika shitaka la kwanza kuwa,
Mei 23, mwaka huu eneo la Tabata Kimanga,
Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam,
kinyume cha sheria huku akijua ni kosa
alimuingilia kwa nguvu msichana
anayedaiwa kuwa shemeji yake (jina
limehifadhiwa).
Katika shtaka la pili, ilidaiwa kuwa Mei 25,
mwaka huu eneo la Tabata Kimanga, jijini
Dar es Salaam, kinyume cha sheria,
mshtakiwa aliumuingilia kwa nguvu
mfanyakazi wake (jina limehifadhiwa).
Hata hivyo, mshtakiwa alikana mashitaka
hayo .
Upande wa Jamhuri ulidai kuwa hauna
pingamizi la dhamana.
Hakimu Luago alitaja masharti ya dhamana
kwa mshtakiwa kuwa na wadhamini wawili,
mmoja awe mtumishi wa serikali na
mwingine kutoka taasisi inayotambulika
watakaosaini hati ya dhamana ya Sh. milioni
5.
Mshtakiwa alishindwa kutimiza masharti ya
dhamana hivyo alipelekwa rumande na kesi
iliahirishwa hadi Juni 19, mwaka huu
itakapotajwa.
 
...........We jisalimishe halafu tutakuja kukuwekea dhamana.....usijali kabisa yataisha coz tumeshaandaa mazingira ya wewe kuwa nje kwa dhamana...... Poor my brain
 
Back
Top Bottom