Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,840
Yani kakosa hata wakumtolea dhamana jamani?
Yani kakosa hata wakumtolea dhamana jamani?
Kosa la ubakaji huwezi kumaliza kifamilia kwa kuwa ni kosa la jinai!!
Labda wange munyamazisha aliye bakwa !!
Je ungekuwa wewe umebakwa ungekubali kunayamza??
Lazima huko naye wataenda kumuonja tu anadhani kubaka ni dili basi.
haya maisha haya kama kweli mke wake angekuwa na mapenzi ya kweli wasingefikishana hapo.
Sawa kabisa hakuna hekima kwa wote mda mwingi wametumia media kusululisha ndoa yao na wakati mwingine wanakuja humu jf kulumbana wakati wapo wachangiaji humu ndoa zao zinayumba lakini hawawezi kuanika mambo yao humu!!Yani sijui useme nini ktk hili?
Mbasha ana miaka 32 Na mke wake ana umri gani?
Kunaoneka hii ndoa Yao ilikua na shida sn mpk kufikia Hapa!
Na inaonekana fedha Au sifa ya mwanamke ndio sababu za yote na pia kuna mambo ya wote kutokua waaminifu!
Lkn pia wote hawana Roho Wa Mungu Maana wamekosa Hekima!
Nasikitika sn ktk hili na kumpa pole Ema!
Issue siyo kumuwekea dhamana , ni kwanini hawaishi pamoja kule Tabata ??Mi naona kaonewa baba wa watu,ina maana huyo mke kumuwekea mume dhamani ameshindwa?huo ndio mshangao wangu!
Mwache aende keko akitoka huko atakuwa amejifunza maamuzi magumu.
Dume gani linapelekeshwa na mkewe!!