Hatimaye Mubarak aachia ngazi!

Hatimaye Mubarak aachia ngazi!

ni watu wengi zijawahi kuona,yaani kutoka kila sehemu ya jamii watu wamefurika sio mchezo, wanakumbatiana kwa furaha, wana chant kwa amani, yaani hata kuelezea unashindwa. U can feel their emotion is very deeply enstored in their heart
 
raia mmoja analia akitamka maneno haya:

"it's quite unbelievable that the people's power have just brought in change that no one anywhere in the world could imegine".

Watanzania lazima tuthubutu tu. kama hatutathubutu tutaendelea kuitwa wendawazimu na kina makamba.

inawezekana.

source: aljazeera

Inatia moyo,, ila onyesha mfano basi au tueleze tulianzishe vipi? Au kila mwana JF awatangazie watu kwenye eneo analoishi kuwa tuandamane? Maana hii aidea ya tuthubutu au tulianzishe sijaelewa tutaanzaje bila kuwa na mipango maalumu!
Mkuu ila mi nishalianzisha maana ninamgogoro wa nafsi ile mbaya,, na ninavuta kasi ya hiyo siku ya kuthubutu ifike!
 
magari, car hoorns vyote vinatoa raha zaidi maana watu sasa wamepata uhuru kamili wa nchi yao
Mkuu siyo magari na hoorns tu' leo huko Egypty hata wanyama pori na wale wa kufugwa wote wanashangilia kiaina.
 
Inatia moyo,, ila onyesha mfano basi au tueleze tulianzishe vipi? Au kila mwana JF awatangazie watu kwenye eneo analoishi kuwa tuandamane? Maana hii aidea ya tuthubutu au tulianzishe sijaelewa tutaanzaje bila kuwa na mipango maalumu!
Mkuu ila mi nishalianzisha maana ninamgogoro wa nafsi ile mbaya,, na ninavuta kasi ya hiyo siku ya kuthubutu ifike!
Vitu kama hivi havihitaji kukurupuka tu'tunahitaji sauti fulani kutoka kwa watu fulani,mikakati yenye maelekezo,dhamira
ya kweli,malengo ya kweli na finishing ya ukweli ya bila kurudi nyuma.
 
BEIRUT, Lebanon – Celebrations erupted across the Middle East on Friday after stepped down as Egypt's president. From Beirut to Gaza, people rushed into the streets, handing out candy, setting off fireworks and shooting in the air.
Even in Israel, which had watched the Egyptian protesters' uprising against with concern, a former Cabinet minister said Mubarak did the right thing. "The street won. There was nothing that could be done. It's good that he did what he did," former Defense Minister Binyamin Ben-Eliezer, who knew Mubarak well, told Israel TV's Channel 10.
Egypt was the first Arab country to sign a with Israel, and there are fears the 1979 accord could now be challenged.
Moments after Egypt's Vice President Omar Suleiman made the announcement of Mubarak's resignation, fireworks lit up the sky over Beirut. Celebratory gunfire rang out in the Shiite-dominated areas in south Lebanon and in southern Beirut.
On Al-Manar TV, the station run by the Shiite Muslim Hezbollah faction, Egyptian anchor Amr Nassef, who was once imprisoned in Egypt for alleged ties to Islamists, cried emotionally on the air and said: "Allahu Akbar (God is great), the Pharaoh is dead. Am I dreaming? I'm afraid to be dreaming."
In Tunisia, where a successful uprising expelled a longtime leader only weeks earlier, cries of joy and the thundering honking of horns greeted the announcement. "God delivered our Egyptian brothers from this dictator," said Yacoub Youssef, one of those celebrating in the capital of Tunis.
Tunisia inspired pro-democracy protest movements across the Arab world after a month of deadly demonstrations pushed dictator Zine El Abidine Ben Ali into exile in Saudi Arabia on Jan. 14.
There was no immediate official reaction from Tunisia's caretaker government.
In the Gaza Strip, ruled by the Islamic militant Hamas, thousands rushed into the streets in jubilation. Gunmen fired in the air and women handed out candy. "God bless Egypt, it's a day of joy and God willing all corrupt leaders in the world will fall," said Radwa Abu Ali, 55, one of the women distributing sweets.
Egypt, along with Israel, had enforced a border blockade on Gaza after the territory was seized by Hamas in 2007. There were some expectations that under a new Egyptian regime, the blockade would be eased.
"This is a victory for the will of the people and a turning point in the future of the region," said Fawzi Barhoum, a Hamas spokesman.
 
Hii ni habari njema! Hongera zao watu wa Misri!
 
nakubaliana na wewe mshikachuma, kuwa lazima kuwe na mipango kabambe ya jinsi gani ya kuannza na jinsi gani ya kuyamaliza.
'sio kwenda kichwa kichwa tu.
Ila sio siri hata Egypt nguvu kubwa iliyowasaidia ni mawasiliano ya mtandaoni ie internet, facebook, twweter etc
hizi ndizo zilizofanya mobilization na mabo yakajipa kama kawa.
hivyo usidharau power ya media.
chukua popcorn kidogo hapo upate nguvu mkuu😛opcorn:😛opcorn:
Vitu kama hivi havihitaji kukurupuka tu'tunahitaji sauti fulani kutoka kwa watu fulani,mikakati yenye maelekezo,dhamira
ya kweli,malengo ya kweli na finishing ya ukweli ya bila kurudi nyuma.
 
heheh mkimtoa kikwete basi rais mjue ni anna makinda.....mpaka uchaguzi utakapoitishwa.
 
somebody commented this in USA:Wow, now can we wait until 2012?
and i isk; can we wait until 2015?:clap2::clap2::clap2:
 
Saudia walishasema hawamtaki.
Nani anapenda kukaaa na madikteta bana???Huyu kibabu Mubaraka alikuwa ananishangaza sana kwa kipindi chote hiki cha karibu wiki 3!
Nilifikia kurejea Biblia wakti ule wana wa Israel walipoambiwa na Mungu waondoke Misri kwenda Kanani nchi ya ahadi. Lakini mtu mmoja alikuwa akiitwa Farao alikuwa na MOYO MUGUMU SANA hakukubali kuwaruhusu wana Israel waondoke Misri pamoja na ISHARA NA MIUJIZA YOTE ALIYOFANYA MUSSA MBELE ZAKE hakukubali mpaka wazaliwa wa kwanza akiwemo mwana wa Farao walipokufa kwa pigo la Mungu ndipo Firauni akalainika!

Kwa hiyo huyu Mubaraka ana roho ileile ya KIFARAO(FIRAUNI). Amekuwa na roho ngumu ya kutoachia madaraka mpaka leo hii!!
The same spirit in Mubaraka. Nawapongeza sana Wamisri kwa USHINDI HUU WA NGUVU YA UMMA.

Tunasubiri nchi nyingine itakayofuata. Kiwete na CCM yake WAJIANDAE KUNYOLEWA. Tumechoka na UTAWALA WA KIIMLA WA KUNG'ANG'ANIA MADARAKA. CCM ONDOKENI TUMECHOKA SANA NA UNYANYASAJI WA UTAWALA WENU.
Wapewapeeeee......saizi wameitana kwenye kikao cha dhalura kuongelea what happen in Egypty na wanaongopeana kwa kupeana
moyo. Lol!
 
5b127133d65c98ed7b422efa6ef182d7.jpeg
 
somebody commented this in USA:Wow, now can we wait until 2012?
and i isk; can we wait until 2015?:clap2::clap2::clap2:
mkuu sisi tunasubiri tu sauti ya maelekezo kutoka sehemu fulani kwa watu fulani. so keep waiting
 
Hata hapa Tz kuna vizee vichakachuaji havitaki kuachia madaraka kwa ajili ya utamu wa madaraka.Ukiviona ni vizee vya kufa mda wowote vimekalia majungu ofisini na vidiploma vyao vya miaka ya 70.Ukiviona kama vichawi vimekwisha
 
nakubaliana na wewe mshikachuma, kuwa lazima kuwe na mipango kabambe ya jinsi gani ya kuannza na jinsi gani ya kuyamaliza.
'sio kwenda kichwa kichwa tu.
Ila sio siri hata Egypt nguvu kubwa iliyowasaidia ni mawasiliano ya mtandaoni ie internet, facebook, twweter etc
hizi ndizo zilizofanya mobilization na mabo yakajipa kama kawa.
hivyo usidharau power ya media.
chukua popcorn kidogo hapo upate nguvu mkuu😛opcorn:😛opcorn:
Ahsante kwa popcorn mkuu! nimeshaichukua na hivi naila. Ni kweli mitandao ndiyo iliyosaidia nguvu ya umma
huko TUNISIA na EGYPTY kama tunavyotumia JF hapa Tanzania.
 
Ahsante kwa popcorn mkuu! nimeshaichukua na hivi naila. Ni kweli mitandao ndiyo iliyosaidia nguvu ya umma
huko TUNISIA na EGYPTY kama tunavyotumia JF hapa Tanzania.
sure, let us be on alert and await to oust the nduli of tz
 
Safi sana hongereni wa mi$ri kwa kua huru'ila hapa kwetu tzania sisi ni waoga sana hatuwezi kupambana kama waarabu wenzetu hawaogopi kufa sisi mhhh!
Dah! we acha tu hawa jamaa NOMA
 
Back
Top Bottom