mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Ujakosea mkuu! tukiamua na kujiamini hakika inawezekana kabisa. Wao mbonaraia mmoja analia akitamka maneno haya:
"it's quite unbelievable that the people's power have just brought in change that no one anywhere in the world could imegine".
Watanzania lazima tuthubutu tu. kama hatutathubutu tutaendelea kuitwa wendawazimu na kina makamba.
inawezekana.
source: aljazeera
wameweza? kwanini sisi tushindwe? Jibu ni moja tu -Inawezekana