Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,238
Jamani si tulianzishe hata hapa?
Nani alianzishe?
Watanzania wana maisha mazuri sanaaaaaa,walimu wanakula bata,...polisi ndo usiseme yani kwa kifupi maisha ni mazuri na hakuna mfumuko wa bei ndo maana unaona hakuna anae lalamika