Hatimaye Mubarak aachia ngazi!

Hatimaye Mubarak aachia ngazi!

jeshi linachukua madaraka kwa mda tu ili kutuliza amani ya nchi na kuandaa maandalizi ya uchaguzi utakao kuwa huru kabisa
Kaka bora hata hao wanajeshi wabebe tu hiyo nchi kuliko mijitu kama mubarak. Pia hata hao wanajeshi watajifunza kilichompata
mubarak
 
:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:😛opcorn:😛opcorn::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Washauri ni wale wale kama wa Mkwere wanaomshauri achakachue matokeo, awakumbatie mafisadi, na aendelee kuwadanganya wadanganyika kwa kauli mbiu za amani na utulivu wakati anazidi kutuletea maisha magumu, na anapora haki na kuumua raia wema. Unless he changes, the next victim of mass demonstrations is Jakaya Kikwete.
Hana washauri,ila ana genge la wapambe na wahuni wanaomuongopeaongopea baasi
 
Kujifunza kuwe kwa vitendo isiwe maneno matupu.Kama hatuwezi tunyamaze vinginevyo tuanzishe movement,tukifanikiwa kuanzisha katika miji mikubwa kama Dar,Mwanza,Arusha na Mbeya tutakuwa tumemaliza kazi.Mimi binafsi nipo tayari kuanzisha na ku-organize move katika mji wa Mbeya
 
Ishara njema kwa wamisri,,, nimejifunza jambo kubwa sana,, kumbe hakuna kinachoweza kupinga nguvu ya umma,,!
All the best egyptians!
 
safi sana usichezi na pipoz ni noma sana jamani ila yule mzee alikuwa mbishi mpaka mimi binafsi nilimkubali kwa ubishi wake
 
Kujifunza kuwe kwa vitendo isiwe maneno matupu.Kama hatuwezi tunyamaze vinginevyo tuanzishe movement,tukifanikiwa kuanzisha katika miji mikubwa kama Dar,Mwanza,Arusha na Mbeya tutakuwa tumemaliza kazi.Mimi binafsi nipo tayari kuanzisha na ku-organize move katika mji wa Mbeya
Mkuu mimi niko teyari kulianzisha Songea na nitakuwa front-line kama mfano
kwa wengine. Kama hizo risasi waanze kunimiminia mimi nipotee kabisa.
 
Wakuu inaonyesha (tetesi) Mubaraka ameondoka Misri yeye na familia yake ila destination bado haijajulikana na wala haijulikani kama ndo kaachia madaraka au vipi?

Source; Aljazeera

Ameshaachia ngazi mkuu,, cheki tena al jazeera!
 
happy new era people of Egypt:,hope that u r not going to elect another Farao.i like that system.........................i think my favorite country will paste and copy it.:msela:
 
WAJMENI KAMA IMEWEZAKANA MISRI ..................................PEOPLES..................WAJAMENI ITIKENI BASI.....................YES WE CAN:msela:
 
Nani alianzishe?
Watanzania wana maisha mazuri sanaaaaaa,walimu wanakula bata,...polisi ndo usiseme yani kwa kifupi maisha ni mazuri na hakuna mfumuko wa bei ndo maana unaona hakuna anae lalamika
Chenye mwanzo kina mwisho. Siku si nyingi watu wataliaazisha kwenye miji mikubwa around TZ.
 
Wee acha tu mkuu. Hakika chadema hawakukosea kuanzisha kaulimbiu hiyo (nguvu ya umma)
Mbiu sahihi ni nguvu ya watu au nguvu ya mbaga. Mbaga ni neno ambalo makabila ya kanda ya ziwa hutumia kumaanisha umma ambalo ni neno la kiarabu.
 
aende saudia

Saudia walishasema hawamtaki.
Nani anapenda kukaaa na madikteta bana???Huyu kibabu Mubaraka alikuwa ananishangaza sana kwa kipindi chote hiki cha karibu wiki 3!
Nilifikia kurejea Biblia wakti ule wana wa Israel walipoambiwa na Mungu waondoke Misri kwenda Kanani nchi ya ahadi. Lakini mtu mmoja alikuwa akiitwa Farao alikuwa na MOYO MUGUMU SANA hakukubali kuwaruhusu wana Israel waondoke Misri pamoja na ISHARA NA MIUJIZA YOTE ALIYOFANYA MUSSA MBELE ZAKE hakukubali mpaka wazaliwa wa kwanza akiwemo mwana wa Farao walipokufa kwa pigo la Mungu ndipo Firauni akalainika!

Kwa hiyo huyu Mubaraka ana roho ileile ya KIFARAO(FIRAUNI). Amekuwa na roho ngumu ya kutoachia madaraka mpaka leo hii!!
The same spirit in Mubaraka. Nawapongeza sana Wamisri kwa USHINDI HUU WA NGUVU YA UMMA.

Tunasubiri nchi nyingine itakayofuata. Kiwete na CCM yake WAJIANDAE KUNYOLEWA. Tumechoka na UTAWALA WA KIIMLA WA KUNG'ANG'ANIA MADARAKA. CCM ONDOKENI TUMECHOKA SANA NA UNYANYASAJI WA UTAWALA WENU.
 
Back
Top Bottom