Hatimaye Mubarak aachia ngazi!

Ninachojiuliza ni hii courage ya kusubiri bila kikomo bila kujua kama rais atatoka ama la wanaipata wapi. bila shaka inatokana na kuchoka na kukata tamaa na kusema sasa basi!! Tanzania bado hatujafikia hali hii. Kumbukeni wamekufa watu kama mia 5 hivi. Hizo mia 3 ni maneno tu. Hapa kwetu wamekufa wa 3 imekuwa balaa. Tutaweza kufika huko ila kama uongozi ukiboreka basi hatutafika huko.
 
Back
Top Bottom