Mkuu hapo unaongea kama mnajimu Sheikh Yahya Hussein. Yaani yametokea kwa sababu ulisema?...Nikasema Mubarak hawezi ondoka kirahisi rahisi au la atliachia jeshi madaraka. Na ndivyo imetokea usiku huu.
Live kutoka aljazeera.
Mubarak atoweka kutoka Cairo lakini haijulikani alikoelekea...
Peoples... Power!!!!
Kilichotokea ni egyptians against Mubarak detectorship!- Wakuuu heshima sana, I mean bado sijaelewa kilichotokea Egypt imeshinda Demokrasia, Wananchi, Freedom au it was Mubarak Vs Mubarak?
- Help please, Wa-Tanzania tuna nini cha kujifunza na Egypt?
- Wakuuu heshima sana, I mean bado sijaelewa kilichotokea Egypt imeshinda Demokrasia, Wananchi, Freedom au it was Mubarak Vs Mubarak?
- Help please, Wa-Tanzania tuna nini cha kujifunza na Egypt?
William!, @ NYC, USA.

Kuna tofauti kubwa kati ya kujiuzulu na kufukuzwa!Hivi Egypt haina katiba? Na kama katiba ipo inasemaje raisi akijiuzulu? Never heard of a constitution inayosema raisi akijiuzulu anakabidhi madaraka yake jeshini!!
na rais wenu huwa ana shauriwa na akina nani vile?
au huwa hana washauri?:sick:
Ila jamaa wa-egypt wamefanya kazi kubwa mpaka kimeeleweka.Wangepoa kidogo jamaa lisingeondoka.Tuna la kujifunza hapo!!