Hatimaye 'mid-life crisis' imenifikia

Hatimaye 'mid-life crisis' imenifikia

Naona Shetani kisha kugeuka sasa.

Bado ana nyuzi nyingi anazopaswa kukumbushwa maana naona anajitoq ufahamu kabisa, anadhani labda tulishasahau.
 
Naona Shetani kisha kugeuka sasa.

What does religion has to do with the topic at hand?
 
Bado ana nyuzi nyingi anazopaswa kukumbushwa maana naona anajitoq ufahamu kabisa, anadhani labda tulishasahau.
Wala hakuna haja ya kumkumbusha wala hakuna haja ya kuchangia vitu vya maana kwenye nyuzi za huyu kiumbe,
Kwanza hua anaazisha nyuzi kisha anajikoki kubishana na kila mchangiaji,atabishana na kila comment,anataka watu wacomment anavyo taka yeye tu,leo ataleta uzi kisha kesho atasema hakua serious,alikua anatafuta attention tu,

Huyu kumpa ushauri au kumuelekeza ni sawa na kumpigia Mbuzi gitaa,ukitegemea alicheze gitaa.
 
Wala hakuna haja ya kumkumbusha wala hakuna haja ya kuchangia vitu vya maana kwenye nyuzi za huyu kiumbe,
Kwanza hua anaaznisha nyuzi kisha anajikoki kubishana na kila mchangiaji,atabishana na kila comment,anataka watu wacomment anavyo taka yeye tu,leo ataleta uzi kisha kesho atasema hakua serious,alikua anatafuta attention tu,

Huyu kumpa ushauri au kumuelekeza ni sawa na kumpigia Muzi gitaa,ukiegemea alicheze gitaa.
You've nothing to offer, wewe kazi yako ni kuishi kwa trend za wanaume.

Na unacho weza ni ku criticize pekee.
 
Wewe endelea tu na hicho kingereza chako cha ugoko,utapigika sana na bado,
Mwanzoni nilikwambia jinsi ulivyo na maisha yako yalivyo ukajifanya kubisha,ila yote yametokea kua ni kweli coz kila siku unajiweka wazi humu kupitia nyuzi zako.
Mbona unaongea as if unanijua?

Nimekuuliza wewe kuwa what does religion has to do with mid life crisis?

Sasa unaanza kunifatilia mwanaume, je Unanitaka? Unataka nije nikupelekee moto?

Acha drama soma nyuzi na uchangie constructive kama member wenzako wenye akili timamu
 
Chiwawa wewe ni kichaa haupo sawa upstairs hilo wala halina ubishi,
Hakuna atakaye changia vitu vya maana kwenye vinyuzi vyako ambavyo unabishana na kumpinga kila mchangiaji,
nenda Milembe kwanza ukatibiwe,JF ipo tu utaikuta tu.
 
Back
Top Bottom