Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,952
- 10,037
Kwa nchi inayoishi ki-umatonya, kweli was it worth it kuiingia gharama zote hizo? ulinzi, usafiri wa ndege mpaka Arusha. And dont tell me serikali 'inasimamia' sheria maana for the last 6 years Kikwete amekuwa anafanya mazungumzo na wezi wa EPA! Huo ndio uvunjwaji wa sheria maana wezi wanatakiwa wawe keko.
Mkuu hapa kuna ukweli. Yaaani serikali inatumia gharama kubwa za kumlinda Mbowe na kumsafirisha kwa gharama kwenda Arusha tena chini ya ulinzi mkali ili hakimu akamuone usoni na kumruhusu kuendelea na dhamana yake? Mimi nilidhani kuna kitu kikuubwa kumbe ni hivyo, is there any value for money? Au ndio haki kutendeka na ionekane imetendeka? Haikuwa na mantiki yoyote kutumia kodi zetu kwa kumpeleka Arusha ili akaonane tu na hakimu