Hatimaye Mbowe apewa dhamana

rakin mdungu zangu mmesahau kilicho mtoa samweli sita kwenye usipika ndo icho icho leo uyo mama kushindwa kuogea ki2 mbona bado apo uyo mama kawekwa kama garasha 2 ana uamuzi wowote.kuandamana kukopalepale nauga oja
 
rakin mdungu zangu mmesahau kilicho mtoa samweli sita kwenye usipika ndo icho icho leo uyo mama kushindwa kuogea ki2 mbona bado apo uyo mama kawekwa kama garasha 2 ana uamuzi wowote.kuandamana kukopalepale nauga oja

Umeona kwenye RED hapo, yaonyesha ww si mtanzania , ya watanzania tuachie wenyewe. Na ya kwako ya somalia endelea nayo huko !
 
akili za weberoya bana anazijua yeye tu
 
Kuna lima** linaitwa faizafoxy litaaribu hali ya hewa sasa hv! Yan hil limtu c lipendi.

na sura yeke ilivyo mbaya........hhhhahah..lile ni moja ya liajiliwa la nape humu ndani
 

kama kawa
 
Naomba ukafanye utafiti halafu uje uandike kaka.

Bahati mbaya mimi si mtafiti ila nina akili ya kuhoji,kujiuliza na kudadisi bila kujali hali ya mtu.Wewe je ! au ndio wale bendera kufuata upepo.
 
Jeshi la polisi limeisha yapiga marufuku nchi nzima, nenda kaandamane sasa uone cha mtema kuni !
Hatuna haja ya kuomba kibali kwako wala kwa jeshi la polisi. Kwa hiyo subiri tu uone matokeo. Kama mtaweza mtatuua wote msipotuua wote tutawamaliza sisi. Tuna hasira vifuani mwetu kiasi natamani mtuguse tu muone cha moto.
 
Hongera Chadema kwa kutumia vyema nafasi yenu, maana bila kujua CCM imeingia kwenye 'Trap' ya kisiasa ambayo mwisho imeshindwa.
Chadema walijua toka mwanzo kuwa wanahitaji kuungwa mkono na wananchi ili kufanikisha kuwa budget hii inakidhi matakwa ya wananchi lakini kutokana na kuwa na wabunge wachache wakahofu kuwa hoja zao zitazimwa. Hivyo wakaona ni vema wakatumia 'people power' ili kupata nguvu, so wakadraw attention ya Umma wa Tanzania kwa Kumtoa Mh. Mbowe ili aende polisi kujisalimisha bila kujua CCM wakaona hii ndio nafasi ya kutumia kudhoofisha upinzani.
Chadema wakaweza kupata support ya umma kama walivyokusudia na kuondoa attention ya watu juu ya budget. Umma ukabaki kutafuta njia ya kumtetea Mh. Mbowe kwa kuona ndio mtatuzi na mtetezi wa maisha yao.
Leo dhamana imetolewa kama walivyopanga chadema na kesho wabunge wote watakuwa Dodoma.
Chadema wameweza kuwainfluence wananchi hivyo kila kitu ambacho mbunge wa chadema atakachosema kitakuwa na support ya wananchi, hivyo tunaomba wabunge wote wa Upinzani kutumia nafasi hii kwa dhati kuwatetea wananchi, kwani sote watanzania tunategemea sana wao kututetea kwa maendeleo ya nchi na wananchi.
 
Nenda kaandamane tukufanye kitu kibaya ambacho utajutia hata wazazi wako kukuzaa ! si umeona wakina Mbowe, Lissu nk tulivyowafanya, bado wewe sasa . Na sio kwamba tunakutisha
Wapi bana. Jeshi la polisi linaloua wananchi wasio na siraha? Subiri sasa tulipize kisasi mtakwisha barabarani. Siku zenu zinahesabiwa na sisi tukibeba mawe na mapanga. Sijui mtakaa wapi! Maana hata nyumba za kuishi ziko kwetu huku. Halafu kumbuka huwa hamlali na bunduki, ukiua ndugu yangu nakutafuta huku huku kwetu mnakokaa na mnakokuja kunywa gongo! na mimi nakumalizia.
 
Kwa sasa tunawatafuta wale maaskari tuliowaona kwenye mikanda wakipiga risasi Arusha ili tushughulike nao. Tunaendelea na upelelezi wetu tutawajua tu.
 
What is destructing your thinking capacity Waberoya? I remember one time you were somehow wise...
I cant recall such time........... This person has never been wise to JF may be to other members like him eg. MS (always sick from himself), Think twice (always never think), G-Brain (always .........).etc......etc
 


Heshima kwako Mimibaba.

Ndugu yangu Mwl wa Hesabu kwa viwango vya kimaitaifa soko la ajira la Afrika Mashariki liko wazi lakini sidhani kama unaweza kupata kazi Rwanda,kenya au Uganda kwasababu unachokitetea hakika ni sehemu ya upumbavu ninaotegemea kukutananao sokoni kwa wasukuma mkokote,wacheza bao au wapiga ramli.Nakushauri endelea kufundisha hesabu shule za kata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…