Huna akili
Jeshi la polisi limeisha yapiga marufuku nchi nzima, nenda kaandamane sasa uone cha mtema kuni !
Jeshi la polisi limeisha yapiga marufuku nchi nzima, nenda kaandamane sasa uone cha mtema kuni !
Acheni ushabiki. Amri ngapi za mahakama hazijatekelezwa na serikali yenyewe? Kesi kama ya Varambia serikali imeshindwa zaidi ya mara 10 mahakamani na imetakiwa kulipa, lakini haijafanya hivyo. Sasa kwa Mbowe imekuwaje?
Awe makini sana na aina ya usafiri huu, maana wabaya wake ni rahisi sana kummaliza kwa style yankumtumbukiza kwenye mtaro. Au yaka mtokea yaliyompata mpambanaji wetu Pasco.
We fisi, usitufundishe uoga. Kwani polisi ndio nani? Kama wameacha kazi ya ya msingi na kuwa jeshi la ccm; we unategemea nini? Kwa hiyo hata polisi wakiua na kubaka familia yenu hutadai haki eti kwa kuwa watakuwa wamekupiga marufuku kudai haki?
Kuna lima** linaitwa faizafoxy litaaribu hali ya hewa sasa hv! Yan hil limtu c lipendi.
"She look like a horse"Speaker anatengeneza kucha zake na nywele siunajua bunge liaanza hana muda.
You have to think twice before you spat your rubbish!Kama hujui kufa tazama kaburi! Uliza nini kimetokea huko Tunisia,Misri,Libya,Yemen,Saudia n.k.
Upumbaf,ujinga na unyanyasaji wa Wabunge na Viongozi wa Kambi ya Upinzani wanaoufanya Polisi na Mahakama kwa kujifanya ni VIJIBWA wanaotumwa na serikali ya CHAMA CHA MAGAMBA,MAJAMBAZI na MAFISADI utakuja watokea puani this time.
Hawana risasi za kuwaua mamilioni ya Watanzania waloko nyuma ya CHADEMA.
Kila jambo huwa lina mwanzo na mwisho. Sasa Serikali ya Rais Kiwete tunaiambia hivi huu ni MWANZO MWISHO.Tunajua Kiwete anahusika moja kwa moja na kamata kamata ya viongozi na Wabunge wa upinzani ni ya makusudi ili kutaka kuvuruga nguvu ya Upinzani kwenye Bajeti inayokuja ya 2011/2012.
Hatukubaliani na upuuzi huu.