rakin mdungu zangu mmesahau kilicho mtoa samweli sita kwenye usipika ndo icho icho leo uyo mama kushindwa kuogea ki2 mbona bado apo uyo mama kawekwa kama garasha 2 ana uamuzi wowote.kuandamana kukopalepale nauga oja
Kuna lima** linaitwa faizafoxy litaaribu hali ya hewa sasa hv! Yan hil limtu c lipendi.
mipasho! Nikupe assigment kama we ni mkali iweke hii mipasho kwa kiingereza tu! Ndo ntaaminiGere mama gere mama wananionea gere, wameusaga mtama wanaubwia wenyewe! Utajijuu babuwee.
umeona eeh yan lingejua acha2na sura yeke ilivyo mbaya........hhhhahah..lile ni moja ya liajiliwa la nape humu ndani
Kutokana na udhalilishaji wa vyombo vya dola na viile vya sheria dhidi ya haki za watanzania maandamano ya kukosa imani na sekali nchi nzima yaendelee. Hatuna na imani na serkali isiyojali watu wake. Mauaji ya wananchi mikononi mwa jeshi la polisi, rushwa polisi na mahakamani na kutowapa watu haki zao za msingi. PIPOZZZZZ
Naomba ukafanye utafiti halafu uje uandike kaka.
What is destructing your thinking capacity Waberoya? I remember one time you were somehow wise...
Hatuna haja ya kuomba kibali kwako wala kwa jeshi la polisi. Kwa hiyo subiri tu uone matokeo. Kama mtaweza mtatuua wote msipotuua wote tutawamaliza sisi. Tuna hasira vifuani mwetu kiasi natamani mtuguse tu muone cha moto.Jeshi la polisi limeisha yapiga marufuku nchi nzima, nenda kaandamane sasa uone cha mtema kuni !
Wapi bana. Jeshi la polisi linaloua wananchi wasio na siraha? Subiri sasa tulipize kisasi mtakwisha barabarani. Siku zenu zinahesabiwa na sisi tukibeba mawe na mapanga. Sijui mtakaa wapi! Maana hata nyumba za kuishi ziko kwetu huku. Halafu kumbuka huwa hamlali na bunduki, ukiua ndugu yangu nakutafuta huku huku kwetu mnakokaa na mnakokuja kunywa gongo! na mimi nakumalizia.Nenda kaandamane tukufanye kitu kibaya ambacho utajutia hata wazazi wako kukuzaa ! si umeona wakina Mbowe, Lissu nk tulivyowafanya, bado wewe sasa . Na sio kwamba tunakutisha
I cant recall such time........... This person has never been wise to JF may be to other members like him eg. MS (always sick from himself), Think twice (always never think), G-Brain (always .........).etc......etcWhat is destructing your thinking capacity Waberoya? I remember one time you were somehow wise...
Naomba nijitangaze kuwa mimi ni mwalimu wa hesabu kwa viwango vya kimataifa kwa ngazi zote. Maswali yako ni yakihesabu zaidi. Kuna proof moja inaitwa Proof by Contradiction. Unathibitisha kitu kwa kutumia au kuamini mazingira ya uongo kuwa ni kweli. Ikithibitika kuwa uongo hupo ni kweli basi kinyume chake ndiyo ukweli. Tuje kwenye kipengele baada ya kipengele
Kutohudhuria mahakama bila sababu ya msingi kwa hiyo apewe adhabu tusema huo ndio ukweli, uongo wake ni kutohudhulia mahakama kwa sababu za msingi kwa hiyo aachiliwe. Tuthibitishe uongo huo kuwa ni kweli. Kakamatwa kwa amri ya mahakama ni kweli mahakama imemuachilia ni kweli angekuwa na hatia angeadhibiwa kwa kosa hakuadhibiwa anaendele na dhamana. Hitimisho ni kuwa uongo huo ni wa kweli kwa hiyo hakimu ameridhika kuwa ana sababu za msingi kutohudhuria mahakama amanaendelea na dhamana yake siyo dhamana mpya. Kwa hiyo Si ubabe,dharau wala ulimbukeni.
Mengine yote jiridhishe mwenyewe Mimi naona ni Tanzania pekee duniani kwenye ubabe,dharau na ulimbukeni dhidi ya vyama vya upinzani tu na hasa Chadema